i prefer traveling by aircraft,Hii si mchezo Allah awarahisishie safari zenu kila siku
2025-02-08 22:15:28
134
Idris phone store :
camera man yupo wapi 😂😂😂
2025-02-09 16:49:06
0
shady :
We trust Allah, 🥰
2025-02-11 17:58:27
0
Mohamed Abdul :
captain Mohamed 🫡🫡
2025-02-09 05:27:15
0
bosslady :
in Allah we trust ✅
2025-02-10 17:37:19
3
can_47 :
LIFE AT SEA .SEAFARERS MOLAA ATUJALIEE MWISHO MZURI
2025-02-10 12:44:29
1
Bausa.boy :
A unique speed boat to pemba island is a Zan fast fairies masha Allah
2025-02-12 03:31:41
0
Said Mduchu :
fly champion flyyyyyyyyyyy🤩🤩🤩🤩
2025-02-10 23:24:50
0
salim said :
Amen yarby
2025-02-11 02:05:30
0
Manface Fildoline :
next
2025-02-10 19:16:24
0
donkey :
ALLAH,🙏🙏🙏
2025-02-09 17:03:35
0
Abuu Nuraiyah herbalist :
😂😂😂😂😂😂😂exactly
2025-02-10 09:51:45
0
504alfa :
good luck 🤞
2025-02-09 19:11:19
0
Shitoto 🥰 :
siku yakwanza kupanda hii zanzibar1 nilipandisha mashetani
2025-02-09 02:39:23
162
eliudogalo (ja naam). :
sasa hii ndo kitu unifrahisha ninaposafiri na izi boti😂😂😂nikisafiri bahari ikiwa shwari naona ni kama nmeibiwa nauri yangu
2025-02-09 11:51:10
57
binmuky2 :
Km ingekuwa serekali inaniskia bas hii boti ingepigwa marfuku kwenda pemba. kbl haijaleta maafa.
2025-02-08 19:22:47
40
wide b 126 :
hiii siku kuna jamaa. alilia kama mwanamke🤣
2025-02-09 07:04:36
31
👑BOLKIAH👑 :
serikali ingeingilia kati hapa maana hawa jamaa wanafanya sifa kwenye bahari huku wamebeba roho za watu leo tunashangiria lkn kuna siku tutakuja kulia kama tulivolia kwenye MV SPICE kwasababu
2025-02-09 02:59:31
18
Hassan_black :
kumbe zinapiga na dede boat hamsemi jamnii🤣🤣🤣
2025-02-09 04:44:50
29
Omary14ahmed :
kwa wasiojua wataogopa lakini hiyo ni kawaida sana kwa safari ya maji
2025-02-09 05:38:30
7
@tifamoh :
mbn km inataka kupaa au watu wa Arusha tutulie hatuna bahari Wala ziwa
2025-02-10 14:17:50
9
moramo :
hapa ndio unaona raha ya kusafiri na hii boti😂😂..ni nginja nginja tu....sio unasafir alafu bahari inakuwa shwari bhana aaah
2025-02-09 02:44:08
11
Suleiman bin Khalfan :
Bahar ikichafuka ata Dar-ea-salam to Unguja pia hapatoshi.
2025-02-08 21:46:10
11
hairouny 💫 :
Kama sijafukuzwa Tanzania bara basi nitaendelea kuona ivi ivi mtandaoni haa siwezi kusafiri huku roho ipo juu juu mtanikuta nimejikojolea 😂
2025-02-09 19:32:14
8
Saumu Jumaa :
wapemba mpo ndio usafiri wetu uwo wengine msiogope kama kwenu pemba gonga like hapa
2025-02-09 18:54:31
21
To see more videos from user @omybrcecuyc, please go to the Tikwm
homepage.