@techs.land: Smartphone tips and tricks. #tipsandtricks #Tech #creatorsearchinsights #tips_and_tricks #tips_and_tricks #android

Tech Land
Tech Land
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 February 2025 20:19:55 GMT
690180
11039
281
1641

Music

Download

Comments

dkt_amar
VELORA AGENCY :
Acheni umalaya, Kwani ukibaki na huyo mmoja unapungukiwa nini😂
2025-02-09 18:57:48
24
mwnachuo
Mwanachuo :
kwanini Samsung ukiwa tiktok, mtu akituma sms whatsup au sms yakawaida inaonekana kwajuu?
2025-02-09 16:47:01
6
diddah668
Diddah :
I phone hamna
2026-06-18 11:17:08
0
aviator1.00x0
Qarim :
Dah nimejaribu iko pw kinoma. Vp kwa wasap
2025-02-09 16:14:29
1
j.vy246
Æjûñ Ævæñy :
Kaka unafanya mengi makubwa maana unatufundisha tusiyo yajua Respect kwako
2025-02-08 20:33:54
12
maskinijeuri29
Maskini Jeuri: :
Kaka naweza kuset pande 2 kwenye message Upande majina upande sms
2025-03-13 20:45:43
0
gabrielsadick987
G official 688 :
basiiiiii kwisha habary yao
2025-02-08 20:48:49
0
katwanga11
🇰 🇦 🇹 🇼 🇦 🇳 🇬 🇦 11 :
Kuna dg anajitia mjuaji ameisha
2025-02-08 20:32:17
4
user2071187951758
jacque lina's :
me nataka kujua jinsi ya kufanya simu ikiita isitoe mwanga ulee wa juuu
2025-02-13 06:44:59
0
emmanuelleonard98
Emmanuel :
hii app usalama wake ni mdogo
2025-03-03 16:39:51
0
kwine48
zoe :
kaka mi nataka Niki post picha kwa fb pasiwi mutu atayicukuwa
2025-02-10 17:03:25
0
johmascots
༻❀JOHNSON❀༺ :
zipo nyingi ata mood messenger inafanya hivi hivi
2025-02-08 21:20:49
2
maishabondo5
Maisha Bondo :
Malaya ni wewe usiye na sehemu za siri😂😂. Kwahiyo unamaanisha tuanike mambo yetu?
2025-02-17 23:54:37
1
.delight12
De Light :
unawafundisha ujinga ili tuwanyonge usiku sindio,,,,ngoja nione hiyo app ktk cm yake aone
2025-03-12 12:09:26
0
mr_kajomba
KAJOMBA_OG :
kaka Asante maana wanatufanya tuweke sim chin ya mto
2025-02-12 09:23:00
2
mayastotz01
Maya_store_Tz :
unatuhabarisha 😅
2025-02-11 05:47:25
1
dhannunsaleh
Mpemba jr :
mtu anachotakiwa kufanya ni kulifuta tu hilo akaweka ile app ya kawaida kuwa default haf tuon ikiingia itaingilia wap
2025-04-08 12:53:31
1
thomasmsisi0
thomasmsisi :
kaka sm yangu nikitaka kutuma sms kwann haitak kuchagua m nataka kutuma kwa haloteli yenyewe inaenda kwenye voda huyo mtu akinitumia kwenye voda nikitaka kutuma haolotel inanishnda
2025-05-09 12:21:04
1
mr_ticktock_
mr_ticktock_ :
😂😂kak umetisha sijawahi ku coment kaka umetishaaa aisee
2025-02-10 09:11:27
1
fintanice_pro
𝗳𝗶𝗻𝘁𝗮𝗻𝗶𝗰𝗲 𝗽𝗿𝗼 >✨ :
Hee! sas umeshawapa mbinu
2025-02-09 00:51:42
1
masoudykikumbi
masoudykikumbi :
naukitaka kumtoa kwenyeh hiyo password unataka umludishe kawaida tyuu unafanyaje
2025-02-09 19:29:49
1
nyangachi1
Ivory💸🇹🇿 :
Mbna kwenye Iphone mbona hiyo app ahaip
2025-02-09 07:22:10
1
cdetz472
Cde Macomputer :
Je akituma sms nitajuaje kama amenitumia
2025-02-09 06:28:33
1
tumaa824
Maestro cosmetics-tz 💅💄 :
vp naweza tumia lock chat Kwa pixel!?
2025-02-09 04:54:54
1
precioushappie180
🦋licious 🦋 :
nmejfunza wanaume ni wazinzi sana an loooh
2025-02-23 12:33:14
1
To see more videos from user @techs.land, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About