@emmanuely136: #fashion #kenyantiktok🇰🇪 #kenyancomedy #tanzaniatiktok #tanzania #trendingvideo #fpy #fpyシ #fpyツ #fppppppppppppppppppp

EMMANUEL 💥
EMMANUEL 💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 February 2025 04:28:29 GMT
606620
46640
3479
1615

Music

Download

Comments

emmanuely136
EMMANUEL 💥 :
YANI ALI KUWA SINGLE MOTHER SAIVI AMEKUWA DOUBLE MOTHERS 😂😂😂😁😁🤣
2025-02-09 10:43:45
682
munnabhai3952
Munna Bhai :
TUNAOISHI KWA KUSOMA COMMENT TUJUANE 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-02-09 15:31:42
513
ashurarashid47
ashurarashid47 :
mm ninayo ya4 saivi naitwaje kitaalamu
2025-02-09 11:58:05
68
vanny5606
vanny :
😂😂😂😂Acheni utan kukojoa ndo mwanaume anapata raha k sio tamu
2025-02-09 04:41:56
98
elizabethchimaisi3
zunde mboye :
ila huyu kaka anajua kuwakela single mother 😂😂😂
2025-02-09 08:41:27
168
user33125547215984asia
24562456 :
Tafuta challenge nyingene kaka tumekuchoka sasa
2025-04-05 18:16:04
5
abdallah.malunga
Abdallah Malunga :
kwa asiyemuelewa atamuona kero ila ukimsikiliza vizuri anarlimisha sana . kila la kheri kwa kufikisha ujumbe mzuri.
2025-02-10 08:00:52
10
user3250798350681
adelfa shadya :
afu ww fany kufurahisha ila tambua mwanao nayey ataitwa iv
2025-02-09 06:07:09
24
habresh8
Habresh :
yaaaaaan hyuu kaka zamn nilikiwa namuona kam mjingaaa hv lkn daaaaah kwa aliyokuwa hana D2 na kuendlea hawez kumuelew
2025-02-09 06:04:20
16
tibbeh.ramsy
Tibbeh Ramsy :
kama umemkubali nipe like zangu hapa
2025-03-01 11:21:39
13
tamaritifsa123
tamari tifsa :
kazoea kutoa utamu hyo 🤣🤣🤣
2025-02-09 20:04:53
6
user39144612148801
musa ndile🇹🇿 :
anaye mkubali uyu jamaa kama mm ninavyo mkubali gonga like
2025-02-27 05:59:40
8
samfarlija
samfarlija :
waambie ao wamepumua sana mpaka tukomeshe wanaojisifia ujinga😅😅😅
2025-02-09 19:41:47
5
stardomtz_1
Stardomtz⛎ :
😂😂😂Jamaa anafurahi kweli naomba usije ukala chakula ugenini watakuuwa. 🤣🤣
2025-02-28 19:20:07
5
asheycestin
MoonlightVibes💬💫 :
walisema mke wa mtu sumu,,hawakusema mume😂🤣😁
2025-02-10 06:20:54
6
meshaonetz
mesha onetz :
😂😂😂unawakera ila ujumbe unawafikia
2025-03-05 07:23:21
5
user4528623193630bives
bises :
wewe nimwicho kabisa🤣🤣🤣🤣
2025-02-09 19:40:26
6
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
we broo naonba MUNGU akulinde sana😂
2025-02-09 06:11:15
13
mamyoog
🦋mamy🍓🇱🇷✅ :
na hiyo nyingn pengine Haina baba tena😂😂😂😂
2025-02-09 10:32:14
13
suby.cute
suby cute 💖💝🦋🦋 :
😆🤣🤣 ila uyu kaka kanishinda tabia
2025-02-09 08:49:34
25
babaabebeeaogopaa
babaa bebee aogopaa :
😂😂😂😂😂 Na hakuna kuoa single mother
2025-02-09 06:05:09
12
user28383555402438
agreyson :
hahahahahahahahahahahahahqha
2025-02-09 05:07:44
6
joseph_chotto_s
b/math doctor :
Kwa hiyo single moms ni kweli hawafai kabisaaa? maana mwamba huyu kila siku ni yeye na wao tu😂😂😂🤣
2025-02-09 05:48:35
32
prince.swai
Prince Swai :
Hahahahaha Ila ww ninoma sasa
2025-02-09 05:18:09
7
mwanailatu1
mwanailatu :
hahaha Ila we jamaaa
2025-02-09 06:23:01
7
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About