Kama Hauna Pesa Never Try this 😂 I Repeat Never Try this😂😂😂
2025-02-11 05:39:42
0
Morgan :
l like this kind of guy
2025-02-10 16:26:26
0
Mr. Ability :
fortune 🔥
2025-02-10 11:29:43
0
ebony♈️ :
Mimi kuna mtu aliwahi kupaki gari kwenye geti langu masaa mengi. nikataka kutoka mtoto aliumwa ghafla sikuweza kutoka ikabidi nitoke nikatafute taxi nichukue usafiri wa kulipia maana enzi hizo hakukuwa na bolt wala uber. Nilichofanya nilitoa matairi yote upepo. Nimerudi home baada ya masaa manne kutoka hospital, nikamkuta bado anahangaika kuyajaza upepo kwa awamu. Je ingekuwa nyumba inawaka moto ningeyatoaje magari geti kaliziba yeye!?
2025-02-10 10:51:57
12
Msabato ze Son :
hizo Passo na vits na ist hazisukumi hiyo!😂😂
2025-02-09 16:06:43
5
neema livini :
Hana haja yakumuita .Ww utaikuta huko kwenye paking nyingine kudadadeki nimeipenda hiyo yani huyo jamaa angetakiwa kuja kwenye hii paking ya kariakoo ningekuwa nacheka kila siku
2025-02-10 06:35:17
14
melania81 :
safiii 😁😁😁
2025-02-09 09:57:40
1
AON :
Hasira za kitajiri😂
2025-02-10 06:47:03
1
Suleiman bin Khalfan :
iyo ni kweli wapo madereva maalum ndio tabia zao
2025-02-09 17:36:43
3
Reuben Nchakaly :
Nawai kazini🙏🏻🔥
2025-02-10 08:56:42
2
MR.MAN :
Kabisa ase maana wengine unaweza kuwablok mageti yao na wanao Matatizo ya akili 😅😅😅
2025-02-10 06:33:10
1
Mtamu Khamis :
nimependa sana hio
2025-02-10 05:11:26
1
nangetia namshitu :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimejikuta nacheka kwanguvu kama nina gari kumbe hata baiskel sina
2025-02-10 04:07:37
1
To see more videos from user @samsungtz1, please go to the Tikwm
homepage.