@__nassraz__: Couple prayer mats available #fypシ゚viral #fypシ゚viral

Nasraz_handmade
Nasraz_handmade
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 February 2025 07:02:02 GMT
220184
8762
183
1456

Music

Download

Comments

amourh_0
amourh :
kuweni makini na baadhi ya design na mnapoziweka msiangalie kupendeza tu hiyo ni swala ni nguzo muhim sana nafaham hauna intention mbaya ila sidhanii km hyo majina yanaleta picha nzuri hususan yalipo
2025-02-09 09:00:25
66
sweetoosamshee
sweetoosamshee 🇵🇸🇸🇩🇨🇩 :
I don't think it good to do this that is prayer Mat... yarab guide us all
2025-02-09 13:33:13
39
usermonsuly_son
𝑹𝒂𝒃𝒃𝒂𝒏 :
Hii ni halal kwa mume na mke tyu cyo kwa wengine🙏🙏🙏
2025-02-09 10:53:33
26
user6954807337667
user6954807337667 :
ambao haujaandikwa jina bei gani?
2025-02-09 07:36:15
6
hammyibnswahibah
KHALIMA /ZEYNAB KASHUSHU :
yaarabbi nijaalie mume mwenye kukujua wewe makuogopa adhabu zako kujitenga na maasi ♥️
2025-02-09 07:56:26
40
billy.1055
بللي١٠ :
locations please inaptikana wapi
2025-02-10 19:47:24
1
arafatally1
👑 Prince Allan :
Nakshi cio haramu alafu ukizingaatia hayo ni ya wanandoa soma vitabu na mafundisho utakuwa hautumii nguvu kujibu vitu vya kuangalia tuu😎
2025-02-09 18:53:22
0
kimodolin
kimodonails🇹🇿🇬🇧🇿🇦 :
Akishajua kusoma alhamdu nakuja nunua inshallah 🙏
2025-02-10 11:29:02
2
maryam.magram
Maryam magram :
🤣tulikua tukiswali pamoja na tukachana Tu Ivo ivo🤣🤣
2025-02-15 17:35:28
0
khusaif_alkiyumi
Khusaif_Alkiyumi :
kias gan? nahtaji
2025-02-09 16:50:24
0
soffyscarlett97
Sofiscarlett :
mm ntakua naangalia tuh love n jina 😂😂
2025-02-09 16:37:13
3
empty....45
GRE👽T :
uuuu
2025-12-20 17:26:47
0
buthainasudein
Buthaina sudein :
this is distraction to swalaa. hapo ukifunga swala macho na akili inakua hapo kwenye kusoma maandish so I don't think kama hii ni sawa
2025-02-11 15:32:03
1
idahlove27
idahlove27 :
jaman tunakosea sana hayo majina hapana kwakwel kuna vitu tunatakiwa kuangalia na sio kujifanyia tu Allah atusamehe na atuongoze katika njian iliyonyooka
2025-02-11 08:08:54
1
qauthari_19
Qauthar_19 :
Ngoj nimuoneshe mume wang🥰
2025-03-09 13:49:15
0
staceybaraza0
Marwah 🪄🌺 :
hapa kufocus ni balaa🤣
2025-02-09 18:00:27
1
khalfan086
Khalfan :
jmn nitafutieni huyo buhra nimuoe tu
2025-03-18 10:21:45
0
babydimpoz34
babydimpoz34 :
Mswal tayar bado wakuswal nae 😁
2025-03-17 13:26:58
0
secret_admire017
_:secret admire:_ 💓👸 :
waaah u are giving me hope that one 😊 day yes thats my name🥺😢
2025-02-11 20:53:37
0
userfathma2893
user##00001 :
mm sioni makosa juu ya michoro Wala love hapo ila wanadamu kumkosoa lazima
2026-03-14 17:25:51
0
mimahallah04
mimahhallah4 :
pls salma na abdul kareem
2025-05-04 15:18:01
0
chimamy546
🦋yurmamy1🌹🌸 :
nzuri🥰
2025-03-08 19:51:38
0
crazyvinjunga99
çŕāzÿ Vīñǰūñgª99 :
shetani atajuaje kama mm na mama watoto tunapenda sio kupenda tu tena tunapendana adi katka swala katk mswala wetu kuna kikopa na majina yetu asee wachonganish mjipange miaka hii
2025-03-04 16:09:28
0
bakes_of_jannah
Maison sumayya :
sio kwa umbaya ila nikiwa naswali lzm nitafocus kuangalia ilo kopa na jina km halijafutika .....msifanye mzaha😅
2025-02-09 17:53:27
0
To see more videos from user @__nassraz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About