Sheikh Walidi Alhad Allah amhifadhi Niko Morogoro nilimuota Katika ndoto amenishika kichwa ananiombea Dua sijawahi hata mara moja kuonana nae Alhamdulillah.🥰
2025-02-09 11:09:00
18
mamazba1 :
ami yna
2026-07-16 08:15:01
0
YummaYummy :
amiin
2026-07-28 10:14:22
0
thabit ngangila :
yupo Walid na othman maalim
2025-03-20 13:11:54
7
Bint Timka🌹 :
Kwakweli Mm Nampenda Mnoooo Sheikh Walid Allah Amuhifadh Jamani....Hana Mambo Mengi,Hana Kibr Na Allah Amemjaalia MashaaAllah....
2026-03-07 01:44:19
1
imamu khalifa :
mashallah sheikh walid much love from zanzibar
2025-03-11 09:56:04
2
Akhiyl Kareem :
mimi nilimsikia akielezea siri ya Sala ya Mtume Swala Allahu Alayhi Wasallam naee akiisoma wakati anakaa mbezi nami nikaichukua nikaitumia ni alitoka mtu alipotoka akaniletea Hela Allah baarik
2025-03-21 12:36:52
0
TANZANIA SOCIETY FOR ANIMALS :
mashallah shehe wetu
2025-02-09 10:32:04
3
Othman Kibula :
ALLAAHUMMA SWALLI WASALLIM, WABAARIK 'ALAA SAYYIDINAA MUhAMMAD, WA 'ALAA AALIHI, WA ASW-hAABIHI AJMA'IYN, AAMIYN YAA RABB 😊🤲🏽.
2025-02-09 10:58:21
6
zawadikambi507 :
yaani uyu shekhe warid mm nampenda tuu hana shida Allah amjaalie pepo ya daraja ya juu
2025-04-05 11:02:56
4
zuhuraabiola :
hakikaaa kabis
2025-02-24 12:58:58
3
mvizu :
allah amuhifadh allah aqbar
2025-03-04 08:32:36
5
Salama Nassir :
me pia nampenda sheikh waridi
2025-02-13 18:16:51
3
kiburwa :
hakika
2025-03-15 18:23:44
1
user1532765124187 :
Kwa kweli yupo vizuri, Mimi ni mkristo lakini nafuatilia sana mawaidha yake.
2025-03-16 22:19:12
2
Sharifa ibrahim :
Allah amuhifadhi waliyuu Allah sheikh Walid Allah ampe umri taweel Allahumma Amin thumma Amin
2025-02-09 11:40:25
4
MPAKISTAN :
kwelii allah amueke sana
2025-02-09 09:46:15
0
SAIDI SUNGITA :
mwamba kasema mimi nani nipinge
2026-09-25 18:47:17
0
jamila jamili :
Sheikh wangu Mzungu wa Roho !!! MTU mmoja rahimu saana . Charming Sana. much love Sheikh Waleed.
2026-04-12 19:20:01
1
YummaYummy :
S A w
2026-07-28 10:13:55
0
YummaYummy :
masha allah🥰🥰
2026-07-28 10:13:25
0
Haji Haji :
Aamiyn
2026-07-08 08:27:29
0
awnaka ya rab :
sisi tupo kenya natunampenda shekh waleed
2026-08-09 18:27:26
0
karimmaulid5 :
swadakta
2025-02-09 10:48:54
0
To see more videos from user @sheikh_walid_alhad_tv, please go to the Tikwm
homepage.