@salomejoseph158: Maisha yanatufanya tusikae na ndg zetu🙏🙏🙏🙏

Salma💚
Salma💚
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 February 2025 17:20:53 GMT
49340
1387
64
60

Music

Download

Comments

ntuzu.og
Ntuzu Og :
Dah,, ,,,inaumaga sana maisha haya bhana dah!?
2025-02-10 06:05:27
0
user7623173558008
doreentarimo :
😭😭😭😭😭😭😭😭mpk nimemkumbuka wifi angu ,da vick wangu dah 💔😭
2025-02-10 06:40:14
0
neema.nichoraus
Neema Nichoraus :
mmh mwanza hiyo wilaya ya misungwi maeneo ya hospital ya wilaya ITEJA harafu unatokea shy hivi nimezoom😁😁😂😂
2025-02-10 11:40:30
2
tedypascal7
tedypascal7 :
🥰🥰🥰 had nmemc nyumbani ghafla
2025-02-10 18:50:37
1
jaguar6242
jaguar power blance :
kwawale hawapajui malekan ndo uko sasa apo yupo zake kwenye choper analud tz😂😂
2025-02-10 15:54:49
1
ndaje28
MWAMBA FROM KIGOMA :
Misungwi
2025-02-10 16:12:32
1
minzalucas
Minza Lucas :
hapo nimaeneo ya misungwi iteja moja au siyo🤗🤗
2025-02-09 17:38:36
3
devotharaphael1
vee💫 :
op mirerani 823 msangee nani anaukumbuka huo wimbo kina ba kantuma danger coy
2025-02-10 15:00:54
1
mosse7019
mosse%%% :
wee iteja hiyo🤔🤔🤔
2025-02-10 18:38:49
0
tonnythadeo855
tonnythadeo855 :
umepanda gari gani na hapo mbona kama shinyanga
2025-02-10 13:55:26
1
sadokia.jibera
Sadokia Jibera :
kama napafananisha vle ihelele et
2025-02-10 07:02:15
2
user0673009689
Anie♥️ :
kweli kipenz tunapitia wakati mgumu kukaa mbali na familia zetu,
2025-02-10 12:07:42
1
veniter_
vee john :
jina la wimbo plz
2025-02-10 11:30:18
0
emmanuelwambura8
Emmanuel Wambura :
misungwi
2025-02-10 15:26:19
0
frolianantidius
otasheka bijampola :
namtafuta KIGOGO popote atakapo onekana nijuze
2025-02-10 18:39:10
0
mkhotya
Wiliam :
kweli maisha yanatutenga na familia zetuu
2025-02-10 18:20:55
0
robert.cosmas
che guevara9900 :
dar nimemisi hadi home bila kumsahau baba yangu kipenzi
2025-02-10 18:15:02
0
ndulitz2
ABDI Tz :
unalud dar??
2025-02-09 18:04:32
1
asimwe.sostenes
Asimwe Sostenes :
safar njema
2025-02-10 11:54:59
0
user66670600212778
Happy mkilima :
jina la nyimbo plz
2025-02-10 09:20:38
0
salima.shabani5
Salima Shabani :
jmn huu mwimbo naupenda sana kaimba nani naomba kina la wimbo
2025-02-10 19:27:09
1
gavana37
gavana37 :
mbona kama iyo ni njia ya ingrii juu kama unaend shirari
2025-02-10 22:45:01
0
sunguramax
SunguraMax :
Misungwi Iteja Hospital Mpya Kwao SHABAN oya Acha nicoment tu Maana Mazingira yangu haya😁😁
2025-02-10 21:46:15
0
user1844441337125
alex :
wapi hiy unaenda
2025-02-10 21:34:32
0
uservanesagaberius
vane girl :
iteja ya mwanza misugwi
2025-02-10 21:09:56
0
To see more videos from user @salomejoseph158, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About