Ukamilifu ni wake Allah tu🥰... Allah atusamehe madhambi yetu ya siri na dhahiri🙏🏽
2025-02-09 19:48:34
83
Omar Salum479 :
Ya Allah tujaalie mwisho mwena na wenye kusamehewa dhambi zetu ya Allah
2025-02-10 02:49:58
15
maryammohamad946 :
Allah atusamehe, atujaalie mwisho mwema ya Rabbi 🤲🤲🤲
2025-02-10 04:05:40
14
Zaidu Mikwanga :
naam ni kweli hakuna anaweza . lakini isiwe sababu ya kufanya makusudi kisa utatubia unaweza kufa ukiwa umejisahau ukiwa katika dhambi
2025-02-10 04:18:56
13
Abuu Zarqawi :
sas unaifungia hiyo video unataka unanusaike pekeako?
2025-02-09 22:51:31
7
Razza OG :
Nimeumia hii video cwezi kuichukuwa, Na uyu Shehe anaitwa nani vile.
2025-02-09 22:39:07
6
Real man :
sheikh kaongea point sana
2025-02-10 04:54:29
4
khuzam🥰😊 :
shehe nikweli dhambi lazima haiepukiki Kuna kusengenya unafk uchawi dhambi ni nyingi mno
2025-02-10 05:07:30
4
Dr. Kondela :
Shekhe Mwemwezi Mungu Akulipe Kheri Maisha yako yote.
Darasa hii imenigusa Moyoni Mwangu
2025-02-10 11:21:36
4
Abu_Mkenya :
mitihani mkubwa ni sitara.. wallahi kuwa katika ndoa ya halali at this era ni neema kubwa.. vijana tunapata tabu Sana kwa sababu vipato vimepungua, gharama za ndoa zimekolea na ukabila/ urangi ndio ka
2025-02-10 08:22:47
4
ousmane jumaa :
nimechukia kufungiwa kwaii video
2025-02-10 05:18:29
4
user61399346257363 :
Allahu Akbar
2025-02-09 20:42:17
3
Zureiya Chambo :
naam 🙏🙏🙏
2025-02-09 18:16:26
3
shuflishers :
mukiweka video kama hizi tuekeeni tuchukue ili tuwaoneshe wengine iwe swadaqa imeanza kwako na sisi tupate thawab kupitia ww biidhni llah
2025-02-10 06:44:54
3
user9974041546880 :
🥰🥰🥰Allah
2025-02-09 18:28:24
3
Burdan Magembe :
Kweli tubadilike ndugu zangu
2025-02-09 18:40:06
3
grape mg :
Mashaa Allah
2025-02-10 04:24:16
2
ST🅰️♈️⚽️🇹🇿 :
Fungua watu wachukue vdeo bhn🙄
2025-02-10 03:34:41
2
zbasaleh :
tunataka mashekh kama hawa wanatia moyo waumin sio mashekh wengine wanakatisha tamaa
2025-02-10 09:27:35
2
BAADRU__ :
hakika Allah pekeyake to ndo mkamilifu Allah atuhifadhi na adhabu zake
2025-02-10 08:31:42
2
To see more videos from user @medfumo, please go to the Tikwm
homepage.