@kheri.ya.mwangaza: #tiktoktanzania #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿

kheri ya mwangaza
kheri ya mwangaza
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 February 2025 03:41:57 GMT
189929
11070
190
890

Music

Download

Comments

getentan.johnson
Getentan Johnson :
plz don't joke man this is not dram , bring one who is obsessed with evil spirit if he collapse
2025-02-11 14:02:22
1
habonimanasaidi8
habonimanasaidi8 :
very true 🥰🥰🥰🥰
2025-02-10 15:46:17
1
manface.fildoline
Manface Fildoline :
next 👏👏👏
2025-02-10 06:11:22
2
mrmoneyintheword
Mr money :
😂😂😂😂😂 sure
2025-02-12 20:24:08
1
adam.wa.zanzibar
Adam wa zanzibar :
Points 👍👍👍
2025-03-15 07:13:07
0
fundyboyv8
DizzoBmw :
Panahitajika utulivu sana kumwelewa huyu mwamba😊💯💪
2025-02-10 07:45:43
45
honesti68
honesti68 :
matajiri awaendi kanisani
2025-02-10 09:16:30
7
user4369575166152
user4369575166152 fadho benga :
mungu akutetee ocka ujajuwa mamboyalooni bad hafu usitumie elimu kutafsili mambo yalooni badouko gizani ww
2025-02-10 05:24:10
2
athman.ali76
Athman Ali :
Yaliyojificha katika majumba ya matajiri yanatisha kupita maelezo. Tuulize sisi habari zao.
2025-02-10 15:16:56
4
user2777681952338
mjeda mjeda :
matajiri wao huchanganyikiwa jumla Bora sisi tunaoanguka 5dk nakuamka
2025-02-10 06:38:01
4
user5497385958332
madam siah :
yan kama nikiwa sina hela nikienda kwenye maombo naanguka nagaragara kama nakata roho
2025-02-10 13:04:09
3
45.percen
45 percent :
Apa kama huna elimu ya juu utaishia to kumtusi huyu mwamba ilah Ako sahihi sana ..ilah ndungu zetu maskini wanahasira sana ..
2025-02-10 08:17:46
4
tullimatias
Tulli9officially :
hahaha nakuelewaaga sana
2025-02-10 12:45:03
1
user8218824126368
Daniel Samson Luhangija :
Ushaur wangu kwako Osca mambo ya MUNGU usiyazungumzie huyajui hujui chochote, zungumzia mpra na mahusiano.
2025-02-10 19:24:20
4
nasiburashid59
Nasibu Rashid :
ila kama kuna kaukweli hiv
2025-02-10 13:43:11
3
lukajohn8
lukajohn8 :
wewe ni mjinga huna Elimu ya mambo ya kiroho wewe chambua michezo mbona wapo wengi tu
2025-02-11 05:47:42
1
user26359epson
epson :
Hapa unahitaji uwe ba D mbili kumwelewa oscar alfu pia unatakiwa uwe umefanyiwa kipimo cha Afya ya akili ubongo usiwe na shaka ndo utamwelewa huy jama
2025-02-10 10:38:18
1
user3555791813740
user3555791813740 :
nakupenda sana osca
2025-02-10 20:16:36
0
shauli523
tajiri kwanza :
mapepo yanaelewa kabisa kua niko na pesa..naweza hata nikayanunua tu
2025-02-10 12:17:20
0
thabitjaribu
Thaber maganga :
Sifa yetu kubwa watu weusi hatukubali ukweli hapa wengine wanamwambia asingumze hayo mambo Sasa tukazungumze wapi bado tupo gizani sana
2025-02-13 17:47:48
1
shangwe.kudaka
shangwe kudaka :
Mapepo ya Matjiri yako na utulivu hata wakiombewa yana tulia sabubu yana kula vizuri, yana lala pazuri, yana panda na gari, tutafute pesa ili tusipate mapepo.
2025-02-13 20:01:47
0
lilianidanieli06
lilianidanieli :
mbona wapo 😳😳
2025-02-13 18:22:45
0
susu.masalu.susu
Susu Masalu Susu :
Osca uko sawa
2025-02-10 19:27:43
1
lyneereng375
charlen alikula ovacado yngu😫 :
kweli
2025-02-10 18:03:10
1
wamtoi
wamtoi% :
Sahihi kabisa na hakuna tajir ambae utamkuta kashika kichwa ana kemewa
2025-02-10 15:28:31
1
To see more videos from user @kheri.ya.mwangaza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About