Mimi kiuno kinaniuma mara kwa mara shida itakuwa ni nini
2025-02-10 06:15:08
3
HEART TRILLIONAIRE :
am doing this mjengo work and I always experience this especially mguu kukufa ganzi while walking home after work..my right leg...how can I help this??
2025-02-10 07:25:29
2
Yolanda Myinga :
mimi huo ndo ugonjwa wangu mgongo unaniuma sana kiasi kwamba kunakioindi nashindwa hatakuinama nifanye nn naomba msaada wako
2025-02-10 09:22:30
2
whizzdasteve :
so matibabu yake ni yepi
2025-02-10 07:03:29
1
Son of Man :
so tufanyeje?
tulale sana au tisimame sana
2025-02-10 05:44:29
1
user2873384666561 :
naomba mawasiliano plz
2025-02-10 12:44:03
1
judithkinya477 :
Very true
2025-02-10 17:35:37
1
Gracie💜🫰😌⁷ :
so whats the cure please because am going through this pain daily 🥺
2025-02-10 16:45:22
1
MIKE KIJANA MPOLE :
niko na iyo shida ni michael ninakupata aje
2025-02-10 16:09:41
1
zaeni jonasi :
mimi ninashida hiyo jamani nafanyaje
2025-02-11 12:13:26
0
saito :
Mimi kuna wakati naumwa na ako kavein Kako hapo kwa matako Hadi nashidwa kutembea
2025-02-16 02:33:53
0
Stano🩺💊😷 :
i blame my mind 😁🙈🙈
2025-02-11 15:31:43
0
Ney :
sjui niliwaza nini
2025-02-11 16:52:41
0
Faith Ngesa :
what i I saw first!!
2025-02-11 18:06:11
0
hashimwaziri928 :
mm ninatatizo hilo nifanyeje naona dawa nilizo pewa hazinisaidii
2025-02-11 20:21:25
0
Faneha_😊 :
Nina hiyo shida jaman c kwa haya maumivu
2025-02-12 09:31:30
0
Mhina lavenc** :
Ni kweli kabisa
2025-02-12 14:43:01
0
SNCH :
Dah kuna bibi angu had leo una msumbua sana
2025-02-13 13:30:06
0
user24276503145703 :
hello,where..location
2025-02-14 13:11:26
0
Edith Waithima :
unapatikana wapi in Kenya
2025-02-15 05:12:58
0
mama kachangaa :
ili nitatizo langu naumwa sana na miguu yani mimi namgongo jamani
2025-02-11 05:22:14
0
Tee❤️🥰 :
💞💞💞
2025-02-10 21:53:51
0
MICHAEL NJUGUNA :
hosi. yako hutumia Equity afya ama Sha
2025-02-10 20:28:40
0
die uyu 047 :
nko na ii shida ya mgogo
2025-02-10 20:16:07
0
Elly💖 :
is this. sciatica
2025-02-10 17:51:11
0
To see more videos from user @mtewele39, please go to the Tikwm
homepage.