@zeriaweightloss: #zeriaweightloss #oman🇴🇲 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokdubai #foryou #tiktokusa🇺🇸 #tiktokkenya🇰 #fypシ゚viral #creatorsearchinsights #tiktzanzibar #weightloss #tiktokcanada

zeriaweightloss
zeriaweightloss
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 February 2025 08:02:36 GMT
387759
7864
186
2136

Music

Download

Comments

tricebea68
tricebea :
zinapunguza kweli kitambi me nilikua natumia kila ck asubh🥰
2025-02-10 17:24:03
18
user8490934041704
kasereka :
Mayi ya limao ni yapi? kiswahili ya tanzania sielewake vizuri maana naishi Congo 🇨🇩
2025-02-11 15:58:58
3
thriver8
thriver :
izo punje nazimeza au nasagia kwenye mchanganyiko wa majinna limao
2025-02-10 16:56:52
10
dadamsusi3
Zainabu🌹🌻 :
kwasisi wenye vitambi vya uzazi inakuwaje
2025-02-11 11:05:39
2
dianasimbeye6
Dayana 🦋 :
m nina p ya kushuka nimeshindwa kutumia
2025-02-10 10:05:45
4
jaro9716908861487
Engineer jaro :
na ukiwa na ulcers naweza tumia
2025-09-07 20:53:57
0
mumydoublet0
DOUBLE T COSMETICS :
vidonda vya tumbo je
2025-02-10 18:46:35
2
maria.pinto219
Maria pinto :
je kam una mimba kun shida
2025-02-11 16:06:50
0
najicute8190758452930
Naji Sama :
unakunywa kama kidonge au unatafuna au kusaga?
2025-02-11 19:56:00
2
razay966
🦋Rahzay :
Kwan maji ya uvugu vugu lazima,jaman mi yamenshinda jaman
2025-02-11 19:36:05
3
user4030708322208clash
user4030708322208c :
hukweli na ukitumia sahumu hutashika mbiba
2025-02-10 19:02:34
2
mauwa.luucha
jeanne 🥑🇺🇸🇺🇸🇺🇸 :
kukunywa izo puja ou kumeza na maji
2025-03-07 03:05:23
1
ellacy_promise
mishga sonia :
unakunyu awu kutafuna iyo kitungu
2025-02-11 15:04:33
2
serenamoise
Serena Moise :
sija elewa plz fafanuwa vizuri nielewe izo punje 6 unachemusha pamoja na limao
2025-02-11 13:15:37
3
esthermarceline97
Esther Marceline :
jambo dd unisaidie kupunguka
2025-02-12 08:26:40
1
nickel4481
Nickel :
sijaelewa apo kwa kitunguu swaumu ni sage au ninywe nzima nzima
2025-02-20 21:22:56
1
user744376344659faida
user7443763446faida :
asante
2025-02-11 05:24:59
2
estafikiri2
ESTA FIKIRI :
asanté
2025-02-11 19:18:31
1
furahaley
Furaha Ley :
asante
2025-02-11 18:10:56
1
asha14421
Lady Brown :
unameza na maji
2025-02-10 14:51:45
2
rehemaboyce
REHEMA BOYCE :
ukiwa na presha unakufa
2025-02-11 20:58:31
1
morning.star4609
morning star :
mm kiungulia nkimeza naanza kuchomeka Kwa kifua
2025-02-11 07:49:40
1
sharon.owaga
Sharon Owaga :
mm nachanganya zote kwa pamoja kila siku imenisaidia
2025-02-10 22:05:51
1
neema.dede
Neema Dede :
Asante,ukiwa na mimba Wala presha ya kushuka usinywe ,nimemjibia nimesima hapo mwenye presha ya kushuka asinyee,Sasa wewe mwenye mimba SI unapresha zote? Leo inapanda kesho inashuka jinsi mimba yk
2025-02-11 17:56:06
1
judithkahambu582
Judith Kahambu :
bonjour ma chérie,maji limao nini
2025-02-13 07:01:47
0
To see more videos from user @zeriaweightloss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About