baby kama hauna pesa utafokewa tu pamoja na huo uanaume wako😁😁
2025-02-12 11:28:39
12
Minah Joseph715 :
Aendeee bwana unikoseee nikubembeleze nenda bwana
2025-02-11 07:28:38
14
Njugu Moja :
Sio eti najigamba lakini mke wangu nampenda kupita kiasi.Hajawahi nifokea hata kunionesha kiburi.
2025-03-09 16:19:40
3
𝓜𝓪𝓶𝓪 𝓩𝓪𝓲 🦋♥️ :
unamfokeaje mwanaume 🫳 aaah cwezi
2025-02-10 10:52:39
27
Sharon Nafuna :
lazima nifoke na akikaa mbaya nampiga spear kama ya romain reigns
2025-02-11 13:58:59
11
Doryrhesa🇰🇪 :
hakuna mtu mzima anafaa kumfokea mwenzake. whether wife or husband. disagreements zikuwe solved kiupole from both sides
2025-02-13 06:09:40
7
rehema mjanja :
sio kufoka tu na kumpiga juu
2025-02-10 18:56:45
2
Mwanakombo Abasi :
hamna lolote kiburi tu bas kinawasumbuwa ndio mana wanawadhalilisha wanawake kwani hatuna roho mnaishi na dhana mbaya kudhalilisha wanawake
2025-02-10 18:29:03
0
It’s happiness 👌 :
Hili ni jmbo la kwel mm nlkuwa natabia hyo akinikera namfokea bc haelew vo lkn nksema nmwambie taratb wallah anaelewa na hafanyi lile jmbo kwahyo nshamjua ata niwe na hasira Vp kwanza naenda kupga
2025-04-27 06:42:54
0
Samuel Vangisivavi :
😭😭😭 uli enda mbiyo Dr Peter mitimingi
2025-02-12 03:58:57
0
Jema Gama :
lazma afokewe labda sio Mimi 😂😂😂
2025-02-12 17:05:58
3
Apostle Stanslous Mussa Mihuka :
Ubarikiwe sana
2025-04-15 08:26:35
1
Ipyana Solomon :
na ujuaji ndo unawafanya wakae bila waume
2025-02-10 13:46:36
5
ornella Gift ❣️ :
très profond 👂
2025-02-16 20:28:46
2
KICHUMA👊 :
me jana katak kuniua uku yan akinunaga tu nakosa amani🤣
2025-03-08 19:29:05
1
Msafiri Nyamsaki :
Direct nahisi niko na mwanaume mwenzangu 😂😂😂mamaaae
2025-02-10 13:19:28
5
user7410822769832 :
kama kilaza nimfanyeje....kune mengine hayasikii hata ukipiga kengere....bora ulifokee tu...
2025-02-10 14:37:51
3
nanciejoseph372 :
Sooo afanye mambo zake azifokewe,ata kama atulewi mifoko ni Nini,una udhi
2025-02-12 07:55:31
2
mark clemoo :
kifo kibaya sana muhubiri mzuri hivi
2025-03-22 11:45:00
1
makimary :
Hta mm natafuta hyo comment unayoitafuta endelea tu kushuka chini
2025-02-12 09:57:49
3
Paul Hekima :
kweli kabisa
2025-02-12 05:45:27
1
Henry Apoko :
mwanamke anavoka kama Nani,na anaishi kwetu,mimi siezi ishi kwao,ni wajinga number 1
2025-02-10 18:39:50
1
To see more videos from user @_alexee_05, please go to the Tikwm
homepage.