@hubofwisdom.inc: 🎯Je, unahisi muda unakwenda lakini bado hujatimiza malengo yako? Katika video hii, Joel Nanauka, anaelezea mbinu bora za kuweka malengo na kuongeza kasi ya kufanikisha malengo yako. Dr. Joel Nanauka | #MALENGO YAKO - Mjumiko wa mbinu sahihi za kuunda na kuongeza kasi ya kuyatimiza. Angalia video hii kupitia 👉🏽 https://youtu.be/lD0OwSPau24 (Link ipo kwenye bio) au search H.W Media kwa njia ya Youtube ✅ Jifunze mambo yanayokupunguza kasi na jinsi ya kuyaondoa. ✅ Fahamu mikakati ya kuweka vipaumbele ili kutumia muda kwa ufanisi. ✅ Pata motisha na mbinu za kushinda changamoto zinazokuzuia kufanikisha ndoto zako. 🎯 Kama unataka kujenga maisha yenye mafanikio, video hii ni kwa ajili yako! Tazama sasa na anza safari yako ya mabadiliko! ………………………………………………………………………. 📺 👉 Usisahau ku-subscribe H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo! — Tunathamini maoni yako. Shiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media — ⚠ Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi maelezo yanayoendana na muktadha wake. 🔔 H.W TV - Be More! #H.WMedia #Joel #Nanauka #Malengo #Biashara #Maono #Nanauka #wisdom #thewisetz #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #Congo #Zanzibar #personal #development #fedha #biashara #muda #mikakati

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 February 2025 09:34:13 GMT
69877
4517
74
305

Music

Download

Comments

emmanuelmwaselel4
Emmanuel Mwaselela :
asante
2026-06-23 20:28:59
0
jackline.kway
Jackline Kway :
Nafurahia sana kukufahamu DR.Joel Nanauka be blessed
2025-02-24 12:51:48
8
everlyne.nanjala7
Everlyne Nanjala :
wengine walikuja kutesa wanawake
2025-04-17 18:16:50
2
makoyeyusuph44
makoye :
fact🙏🙏🙏🙏
2025-04-11 13:43:58
0
nath.trends8
Sokoni kwetu :
my motivational
2025-02-10 10:54:05
2
eze.boy01
EZE BOY :
nakukubali san
2025-02-25 02:08:30
4
4four91
4-LIFE🌍 :
🗝️words
2025-03-12 09:44:35
0
user5187862056300
user5187862056300 :
Nimefunguliwa akili
2025-04-24 10:46:28
0
eliakunda8
Eliakunda :
Muda wa ziada unaweza ukatumia vizuri Kuongeza mkondo wa Kipato
2025-03-03 15:50:47
2
alpha_unique07
ALPHA 🐺 :
Juhudi na Malengo ndiyo yanatimiza ndoto
2025-02-24 05:33:11
4
jiliusmwambe
muturuki TZ 🇹🇿🇩🇪🇹🇷💰💰💰 :
sawa
2025-02-11 09:56:12
2
eliamanisilamoi31
Eliamani Silamoi :
naqbali
2025-02-11 18:59:20
2
user50300515832218
MR DUMONDE :
Asante sana Dr wewe una tuhinua
2025-05-07 08:16:38
0
vitalusnec
Keith Urban :
Ahsante sana mkuu🥰🥰🥰🤩🥳. Focus must maintaining.
2025-02-23 09:51:25
3
user94018885580395
Pson deer🦌 :
si ndyoo Sasa!!
2025-02-10 20:55:41
2
tabithahereman001gmail.c
Tabitha hereman :
🙏
2025-02-25 07:56:40
1
sembe.123
😎😎😎 :
👊👊👊
2025-02-21 17:52:24
1
hadess005
Hadess :
🤔🤔🤔👍
2025-02-22 08:37:33
1
mweuckasso
Mweuc Kasso :
🔥
2025-02-15 08:03:59
1
usergodfreyinventer
Godfreybp :
🥰🥰🥰🥰
2025-02-13 07:27:40
1
msilangazachariah
Dr Msilanga :
🥰🥰🥰
2025-02-17 08:28:56
1
japhet.kalawa
Jafeth kalawa :
🙏🙏🙏🙏🙏
2025-02-11 05:45:18
1
mamtopknots
Mam_top_knots :
👌👌
2025-02-10 12:33:13
1
teacher_melkior
teacher melkior :
🔥🔥🔥
2025-02-10 14:13:48
1
mchina3tk2
mchina :
🥰🥰🥰
2025-02-10 16:23:09
1
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About