@pomwamba05: Dahhh na wamenipiga sana🥺🥺 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage❤️❤️ #fyp#fypシ゚viral🖤tiktok #fyp

༺✪P̳o̳m̳w̳a̳m̳b̳a̳05꧂
༺✪P̳o̳m̳w̳a̳m̳b̳a̳05꧂
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 February 2025 14:16:26 GMT
103638
6468
211
505

Music

Download

Comments

mwana.nwn
Mwana Nwn :
akii kwniii hii ni mambo nganiii🤣🤣🤣
2025-02-13 05:36:53
1
neemasetuka121
Neema Setuka :
hahahah pole
2025-02-15 11:21:30
0
user709783906255
jenifa :
umefelii apo mchinaaa
2025-02-13 08:31:01
1
kibomjuny
DJ JUNIOR+255_NO 1 LIKE ME :
daa mchina mshenz sanaaa
2025-02-10 20:53:37
2
alson.chrsto
Alson Chrsto :
:I need to know PIGA UWA GALAGAZA in english
2025-02-11 12:36:24
2
poulsom
Poul Som :
Dah!
2025-02-11 05:48:53
1
ibratz47
ibratz🇹🇿570@$#& :
mlinikimbia feceboock mkazani sitowapata haya Type AMEN ama ukufe😎😂
2025-02-11 09:35:12
30
shaharani.makerer
Shaharani Makerere :
Mimi nilisimamisha gar la zma moto wanisaidie maji kwenye ndoo ndogo nioge mtaani kwetu maji yalikata ety saiv nipo kituon sjui kosa langu nini
2025-02-11 11:05:25
24
elishasalu65gmail
[email protected] Salu :
ww like na kulike hapa usipite bule ona ss unataka kwenda wapi ss akati ni swala dogo tu acha loho mbaya 🥰🥰🥰😂😂😂😃😃😃
2025-02-11 10:30:31
26
kwala_lumpa
kwala _ lumpa 🧠👑 :
😂😂😂 kumbe tukikuwah unapon
2025-02-10 18:37:56
18
rachellorry3
rachellorry3 :
umeonewaa tuu kwan alikuwa mgonjwa wako??😂😂😂😂😂
2025-02-10 18:34:39
8
josephkanenge947
Joseph Kanenge :
shida sio mgonjwa ttz limeanza mgonjwa n babu yake babu yako baba ake mzaa babu yako mpe jina ..... 😂🤣 au niache ujinga
2025-02-12 11:05:17
8
user9307450480836
Steve bryce :
huyu mchaina sasa arudi kwao😂😂
2025-02-11 15:28:04
8
user3825751831967
@rose12 :
umepata funzo alikuambia ulisimamishe nani
2025-02-10 16:52:56
6
eunice.atieno388
Eunice Atieno :
huyu mchina Sasa anafaa apewe fare arudi kwao😂😂😂😂
2025-02-13 13:45:03
2
williammusyoka250
deliviy :
wewe umelemewa kweli😫😢😢
2025-02-15 09:49:05
1
user6184066836558
user6184066836558 :
🤣🤣 jmn ww nimeishiwa nguvu naomba uzirudishee bila ivo nitakupg
2025-02-13 20:17:49
3
dashraysaidy
dashraysaidy :
kwani upepo wa kisuri suri umeish ukuludish kwenu utazichomoa mbavu zang😂😂😂
2025-02-13 19:18:44
1
user7465241840500
Riziwan mvumo :
Hata mm najiulza kilichopelekea ning'olewe meno sisa kulzia askali police panapo uzwa bang
2025-02-13 05:24:45
2
user8120808570
mwajuma :
nanyoa vuzi kwa bei nafuu sana😅😅
2025-02-11 10:38:43
2
emmanuelyegela612
Emmanuel Yegela :
siku moja kaka ujipost tukunot kwa sura na uyoo mchina umpumuzishe 😅😅😅😅 iyo siku unitag
2025-02-11 10:30:18
3
bilia.jr
Bilia Jr :
mi baiskeli yangu iliishiwa upepo mara nikaona defender unapita nikawasimamisha niwauliza kama Wana pampu wanisaidie nijaze upepo ety ndo wakaanza kunipiga
2025-02-11 08:13:53
3
lewangalaa5
Ramaramz :
wamekuonea tuh haooo
2025-02-11 13:55:27
2
deetown12
deetown12 :
Utakuwa na shida kwenye ubongo wako kk
2025-02-11 09:44:19
1
user1474612862782
Mwera Empire :
manina,tukikuwahi unapona kabsa ww ahhhhhhh
2025-02-11 05:09:26
1
To see more videos from user @pomwamba05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About