@fabiosoudtz312:

fabiosoudtz💔
fabiosoudtz💔
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 February 2025 19:26:00 GMT
49539
3171
258
794

Music

Download

Comments

iddikessi
giallo zanzibar :
love this❤️
2025-02-12 03:16:00
0
aisha.mwinyi1
Aisha Mwinyi :
hamuna jambo zuri lenye raha kama kuzaliwa ukiwa musilam tuseme allhamidulilah mungu awaongoe na wengine atujalie tufike ramdhani tukiwa afya nje
2025-02-11 11:25:38
91
hashimothman838
Ope_jr6 :
Hili vibe ni kw wanzibar tu baada ya futari pale ZBC 😊😊😊
2025-02-11 06:19:14
40
saidleader22
Saidleader :
Allah atufikishe hali ni wazima wa Afya
2025-02-11 06:52:22
35
user3702288566016
l.R.A Tz. :
muda kama huu umebaki mihogotu kwenye sinia chapati zote zimeishaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-11 08:31:12
29
dhralik2503
dhralik ❤ :
kuna raha yak kuftar huku unaskiliz ZBC 😄
2025-02-11 13:38:48
24
aisha.juma304
Aisha Juma :
Allah atuwafikishe inshallah🙏🏻🥰
2025-02-11 06:11:54
14
uyee912
10 uyee :
da swaumu mungu tufikishe tunasubr mwezi wetu waislam tupoooo
2025-02-11 10:22:21
4
masoudmohdmwinjuma2
masoud :
DAA TIKTOK HAKUNA KINACHO KOSEKANA
2025-02-11 08:39:59
4
musssajuma
BAMSA :
Dah baada kuskia iv mimekumbuka mihogo 🤣😂
2025-02-11 18:59:14
3
arafatai6
ShemsaTai_0005 :
Ramadan ina raha yake 🤣🤣 ni furaha tele
2025-02-11 15:48:53
3
ukhtyruu54
um balqis :
Zanzibar tanga pemba ....kuna hisia flan hvi unajiskia raha sana yaan unaiona ramadhan hapo umelegeaaa kipindi hiko Allahu Akbar asaiv tunawatoto
2025-02-11 13:06:22
3
user7469286154322
user7469286154322 :
nakinachofatahapo nihistoria yawanazuoni wsliokushakupita kitamho
2025-02-11 10:38:02
2
abdallaseiffaki
bosbos :
Allah atuwafikishe kuw na uhai na afya tuidirik ramadhan
2025-02-11 15:01:08
2
mamyfaa2385076717555
mamy faa💞 :
Mashaallah🥰❤ nakipenda san iki kipindi cha iftar❤🥰🥰🥰
2025-02-11 13:35:46
2
user2188292305907
NGOTE :
Kitoto Akili yote ipo kwenye njugu mawe
2025-02-11 06:17:20
2
tureyahya922
Ture Yahya :
kumekucha mungu atujalie atufiksh tukiwa wazim wa afya na kutekelez ibada ya funga
2025-02-11 20:03:49
1
mwenyenchi.junior
Mwenyenchi Junior :
kuna watu iy haikumaliza na uji umeisha 😅
2025-02-11 17:16:56
1
soniaabkhashy806
Sonia Abkhashy806 :
Soon in sha Allah
2025-02-11 05:19:57
1
the.boss.lady.rk
The boss lady rk💝💟💛 :
cku 15 zimesalia
2025-02-11 12:14:18
1
user95811285523237
nassir :
watoto wa 2000 hawaelewi hii
2025-02-11 07:14:51
1
user8105837063824
user8105837063824 :
yani kwa kipindicho redio zote zinafeli isipokua hiii zbc 😆😆😆😆😆
2025-02-12 09:26:51
1
al_hudhaif
T~23 :
muda umeenda sana.
2025-02-12 05:50:37
1
user8411061448226
@Ramuu@ :
Mungu tufikishe tukiw wazim
2025-02-11 16:20:56
1
spy.cley
Spy Cley :
😁😁mida ya kuftar inakarbia apo,mnaftari nyumba 4 mpk 5 kwa pamoja nje back in 90s and early 2000s😁
2025-02-11 10:38:16
1
To see more videos from user @fabiosoudtz312, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About