leo ndo nimeamini huwezi ielewa nyimbo mpk uwe kwenye hio hali ni saa 7 usiki yupo kando anakoroma😂😂😂wala nyimbo sijaielewa😂😂😂allah anistiri na hii hali isije ikawa my fav playlist
2025-02-16 22:44:16
2
💞💞Mom erfan ❣️❣️💫 :
mapenzi utumwa aseeh duuuuh 😭
2025-03-09 06:23:41
2
chiku🫶♥️ :
hii nyimbo aliimba nani
2025-03-08 19:39:48
1
siti :
achana na waume za watu ..
2025-02-12 14:11:22
3
ZAHARA SHABANI :
zulhi_sawa
2025-03-04 06:02:51
1
Vaileth Alex :
Dah
2025-03-05 21:29:54
1
maryam :
japo josa sio lakwangu nimekubali kubeba kosa ili asiniache ila yote hayaonui moyo wangu umejaa maumivu makali sana
2025-02-15 12:19:24
2
mr overdose :
itabidi nitoe mapenda kwa katiba ya huu mwaka naona mnateseka wengi sana☺️
2025-02-12 06:04:20
9
~its~me🔐📌 :
dah hii nyimb inaitwaje nisikilize mpk pale nitakapo msahau
2025-03-13 19:42:49
1
vivianNechesaNamuru :
Mme wako au
2025-03-18 07:09:58
1
mrs mangure best🍭🥰💍🙏esther :
ngj nilie kwanza😌
2025-02-12 05:05:46
2
mery :
nikajuwa niko peke yangu kumbe tuko wengi😭😭😭😭
2025-03-14 07:00:21
1
🌸Mrs..G❤️💍🔐🌸 :
zilete audio mack bas
2025-02-11 20:51:57
3
marlene kisimba :
ok🥰🥰🥰🥰
2025-02-18 16:16:54
1
To see more videos from user @zarinahbeka, please go to the Tikwm
homepage.