@kutokamaktaba: Tanganyika independency 1961 Siku ya uhuru#independenceday #tanganyika #tanzaniatiktok #kutokamaktaba #maktaba #1961

MAKTABA
MAKTABA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 February 2025 08:20:50 GMT
47300
2920
109
276

Music

Download

Comments

mcgallas
McGallas :
Sasa kama JK alikua Nyerere nani alkua mkuu wa nchi?
2025-02-17 08:25:08
5
kumamboga75yahoo.com0
9898979 :
🤔🤔. I don't know how julius nyerere managed to hold Tanzania together after independence with a lots of Muslims without any trouble.
2025-04-08 01:16:55
2
iamkibosile8
Kibosile :
Mtu anakuja nyumbani kwako anakutawala af anakupa uhuru kwako😂😂😂😂
2025-02-12 11:50:52
20
hey_skz
️Dee :
natamani ningekuwepo muda huo🤣twende kwa dj🤣🤣
2025-02-13 12:08:34
35
dirimba0
DIRIMBA🇹🇿 :
sinza kulikuwa na viwanja bure kabisa enzi hizo... lakini wengi wao hawakuona fursa.. wajukuu zao Leo wangeuza kwa pesa mingi... yanashangilia tuu
2025-05-08 08:29:51
1
sacdiaahmed25
SacdiA :
We umeona wap mtu alokutawala anasherehekea uhuru na ww na mmevaa suti mkitembea pamoja? Ni kma ku introduce ukoloni mamboleo bado wazungu wanafaidika na utajiri wa nchi yetu
2025-02-20 08:50:49
6
huubaddest
Takhreen douta💋🦋🦋 :
Maskin mliteseka🥺kwa ajil ya wapuuz watt wa 2000
2025-03-23 08:44:44
3
frank_the_boy4
Frank-Win :
sijui mliwapa mikono ya nn hao
2025-05-04 16:58:16
0
user1010411600981
Joao michael :
babu walishangilia ushindi walioupata kwa ajili yetu na vizazi ila respect mungu walaze mahali pema na waliopo wape mwisho mwema😆
2025-02-16 10:48:39
5
kipenseri.rufufu
Kipenseri Rufufu :
wanaoshangilia hao, 90%hawapo kwa Dunia😏
2025-04-07 22:11:13
3
kelvinmjengwa485
Kelvin Mjengwa :
tutumiaeni kama hizi
2025-04-07 13:25:16
0
musajetli
Musa jet li. :
namuona Wasira YUPO🤣
2025-02-16 04:53:05
3
gidadufi12
Jah Priest :
kwani hawa wazungu walitutawalaje? kiaje yaani?
2025-02-17 16:54:53
1
isra.lisa1
Isra Lisa :
Ila mwijaku haje anza Leo kumbe kitambo ona sasa barabaran anavyo fanya
2025-03-01 07:44:27
1
anzurun5
Lyrin Shack :
haya maisha bana hawo watu karibia wote walishaga jifia na sisi pia generation yetu nayo itapotoe tu kama hawa tutakuwa tunakumbukwa hapo ndio mwisho
2025-04-09 05:42:40
0
aziz_antah
negusenegest👑 :
hilo shangwe linamaanisha mengi sana✊🏽 pole kwa mababu zetu🙌🏻
2025-04-18 17:47:35
0
poulsenvaezypoane
poulsen vaezypoane :
jasho la mwanaume haliendi Bure Mzee kaacha laana mtanganyika amejawa na ujinga, umasikini , maradhi
2025-04-06 21:16:35
0
usambara_bike_life
Enduro_therapist :
ilikuwa n unyama sana
2025-02-12 09:03:15
0
mouh_16_april
Son_oF_ESTHER 🇲🇿🇲🇿 :
mimi ndo mtu pekee najua Rais wa ichi ni Magufur
2025-03-16 11:20:55
0
_luckycharm4
Luckycharm :
feeling ya ao jamaa ni unexplainable😊
2025-03-14 23:33:05
0
miwagotz
MiwagoTz :
Nimeona babu kakunja nne
2025-03-30 03:26:28
0
cathygeoffy
blessingmom🤲✅ :
Siamini kama umati mkubwa hv wengi walishakufa kweli maisha mafup aisee🥲na kila siku wengine wanazaliwa Mungu atupe mwisho mwema🙏
2025-04-07 17:35:24
0
user1681308730814
MAGUZU MARDADI :
daaah
2025-04-06 15:24:50
0
luckydamkhamisada
Luckydam khamis Adam :
wangejuwa wasinge shangilia
2025-03-15 20:46:29
0
mukhsin_op
Muuh :
🤣🤣🤣kumbe tulipewa uhuru
2025-02-12 16:55:18
0
To see more videos from user @kutokamaktaba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About