@bingwawamagariused: 1,800,000/=Hii Gari kaniletea mzee wa kanisa nikaona nimsaidie kuuza, Anafanyia shughuri zake za kanisani, Ac hakuna labda uje nayo ww, Inataka Urudie rangi; mambo mengine iko Fresh, Gari GX 100, ina cc 1990 Call: 0711398600
Ngoja nije Google pixel 8 pro tufanye top u tajiri
2025-02-12 09:15:31
7
Striker_1949 :
Baloon hizo hahaa
2025-02-13 06:08:26
2
♉️BIG J🎀💕 :
😂😂😂comment section duh
2025-02-13 11:22:36
1
Dennis Lello :
😂 Ac
2025-02-12 11:17:32
3
A.burghadt :
I'm from Tanzania 🇹🇿 and you??
2025-02-13 13:00:03
0
kashially :
bei ya boda boda used 🤣🤣
2025-02-13 21:15:27
0
Muddy Muzungu :
Nina elf 25 Tajr😁😁😁
2025-02-13 15:04:39
0
Fefe brainer :
Goodluck gozbert akiiona hii atachoma moto😂😂😂
2025-02-12 20:58:31
0
prevo4real :
😂😂😂ac
2025-02-12 17:23:37
0
Joseph Optatus Hilly :
Elewa ya kwendea Kanisani sasa wewe jifanye unaenda nayo Songea🤣
2025-02-12 10:30:17
267
Julius :
na redio haiwaki labda uwake wewe tàjiri 🤣🤣
2025-02-12 08:56:57
131
Samuel Shukur 🤴 :
Huyo mzee namfahamu hii gari alinunua laki 3 jamaa mmoja ilimshinda akamuuzia huyo mzee baada ya kustaafu huyu mzee naye kumbe imemshinda kuna siku nilimuomba lift akiwa anaenda kanisani alivyosimama ikazima akaiacha hapo tukaenda kwa mguu aisee chukueni hii gari 😂😂😂
2025-02-12 13:55:27
54
H.I.M 😮💨 :
Gari haitembei labda utembee wewe tajiri 😂
2025-02-12 12:15:56
55
Lily_Patrick :
ngoja nijiwekeze mwakani ntapata ata ya laki tatu😅😅
2025-02-12 08:54:59
37
seckreto05 :
ukiinunua nakishauri usifute namba za bodaboda
2025-02-12 11:16:54
45
Appy store🧡 :
Gari haiwaki labda uwake wewe tajiriiiiiii🤣🤣🤣
2025-02-13 19:45:49
17
eliudogalo (ja naam). :
mmeskia ya kuendea kanisani,,akikisha haushi mbali na kanisa sasa jichanganye kwamba unaenda kupokelea mgeni mbezi mtarudi mnasaidiana na mgeni kusukuma
2025-02-12 14:56:51
12
𝓐𝓳𝓲𝓵𝔂 OG :
na safar ya mbali haiendi tajir labda uwende ww tajir 😂🤣😂
2025-02-13 12:15:20
13
Mzava54 :
mwenye gar alikua anaendea kanisan tu sasa jichangnye😂
2025-02-12 09:38:44
10
Eddy✨ :
Hii ukinunua hakikisha wewe ni fundi,una gerage yako na duka la spea za magari tajiri😂
2025-02-12 13:56:49
6
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm
homepage.