@fiber_optics_kenya: ADSS management in closures #fiberoptics #wirelessfidelity #getconnectedtoday #internet #technician #hotspots #wirelessinternet #kenyantechnology #sig

Fiber optics Tech ke
Fiber optics Tech ke
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 13 February 2025 17:11:33 GMT
17590
408
27
8

Music

Download

Comments

kigorwe
kenkithinjikigorwe :
nataka ADSS. around 500M
2025-03-02 14:11:02
0
johnben.2
johnben.2 :
splitter kwa closure kwetu is a No,
2025-02-20 18:58:40
0
dark_kinyua
Ngumo :
unachoma aje sleeve ama ni mimi nafanyanga vitu zangu
2025-02-15 16:31:49
4
charleswanjigi1
Wanjigi Jr :
unachoma sleeves na kiberiti
2025-02-20 20:16:25
0
mr_yatchyy
MR_YATCHYY :
sisi watu wa wireless ndio tunaingia marketting before mfikirie kwenye mtatoa Adss
2025-02-14 04:24:36
1
ojmogaka
OJ MOGAKA :
wakifika huku kwetu kwisha, drop zinarukia poles kama 20 before ifike kwa nyumba 😂
2025-02-15 13:38:13
1
privatenumber002
Private number. :
hiyo ni kazi chafu vile umesplice core na splitter... hakuna kazi safi hapo
2025-02-15 02:54:57
1
gikonyo_harrison
Gìkonyo Harrison :
sasa drop cable mpapitisha wapi?
2025-02-14 05:43:39
1
5845jxddd
evans koech :
Kwani sleeves ulichoma na kiberiti
2025-02-24 04:44:31
0
johnben.2
johnben.2 :
huku ni kiganjo?
2025-02-20 18:59:03
0
simonng35
TECH LAB TELECOM :
nataka ku funzwa mambo ya fiber, niko congo
2025-02-16 06:50:15
0
iansavage60
mkalee :
tafuta fajikura😂
2025-02-28 05:33:36
0
slowly_frank
Frank Francis :
na unafaaa kuenda Shule ufunzwe kumanage cores now what are those
2025-02-14 18:01:33
1
To see more videos from user @fiber_optics_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About