@insideoutz__: DJ NICO ANASEMA ALIWAHI KUKAA KIKAO NA RUGE, DJ STEVE B NA GADNA WAKAFANYA MAAMUZI YA KUMCHAGUA ALIKIBA NA DIAMOND KAMA WASANII WATAOUOKOA MUZIKI WA BONGOFLEVA AMBAO ULIKUWA UMEINGILIWA KWA KASI NA WANAIJERIA Dj Nico Track amefanya mahojiano na East Africa Radio na hapa anatoa siri za kikao walichokaa kui’shape game ya Bongofleva kwa nia nzuri na ilifanikiwa lakini madhara yamekuwa makubwa Hii ndio sababu kwanini unawasikia Alikiba na Diamond ssna kuliko wasanii wengine #djnicotrack #eastafricaradio #bongoflava #ruge #gadnerghabash #djsteveb #alikiba #diamondplatnumz #insideoutz
Muendesha kipind mwenye shati jeusi IQ yake imelala sana anashindwa kuuliza maswal muhim matokeo yake anarudia na kutaka jamaa arudie jambo lile lile stipid
2025-02-14 17:08:27
8
leo_davinci :
make sense 🤔
2025-02-20 08:43:30
2
fedelakhan :
luge kafanya wasanii wengisana wamekufa masikini
2025-02-14 10:48:31
5
temoni lupondo :
waongo tuu hawa
2025-02-14 15:19:54
1
Rashid fundi peving brock :
nilisemaga mimi kwamba alikiba alikua kapotea mondi akamuinua
2025-02-16 08:51:44
3
kad go :
aya mambo ndo aliyasema one the credible kuusu kushushwa kwa Ruby akapandishwa nandy
2025-04-07 06:42:47
1
lyumbastarofficial :
BORA UMETUBU, MAANA ULIKUA UNAFATA WEWE
2025-03-08 06:33:07
3
jumaa junior. :
kwenye huu mzik wa bongo mond tu ndio mwenye usubutu
2025-02-17 04:12:40
3
Issah :
Huyo dogo mwenye nguo nyeusi uelewa wake mdogo yani hata majina ya waliokuwepo kwenye kikao mpaka ayarudie tena kwa kuyasoma maswali yale yale anachojua ni kuitikia tu SURE🤣🤣😅😅
2025-02-17 09:12:26
4
hasheemkaz :
kulikuwa na Dulayo, yule mwamba alikuwa anaimba kuliko kiba. ila Kawa mlevi Kwa ajili ya ujinga wa watu wachache
2025-03-19 15:41:13
2
LubavaClassic :
sasa kama amebaki pekeyake wenzake wote wameshakufa na yeye si tummalizie tu then tuanze upya...Shenzi kabisa
2025-04-21 23:13:42
1
' :
Ruge lilikuwa dudu baya
2025-02-14 21:32:56
2
Barber T :
Kuustop mZiki wa nigeria kwa hapa Tanzania ni ni serikali kuamua kwa idara zote zinaZohusika na maswala ya muziki wa tanzania kupunguza kupiga muziki wa nje na kupiga muziki wa ndani kwa Asilimia 90
2025-04-07 06:58:41
1
Mwina Senior :
hiii ni kweli kabisa, Mimi niliwaza sana mbona kiba alirudi Kwa speed sana,
2025-02-15 03:39:31
3
First boe_Dill :
Huyu muongo muongo 😂
2025-03-06 07:32:22
1
francis :
mwisho wakapambana waokwawao
2025-02-14 05:07:31
3
mack jr :
hahhaahaa
2025-02-14 12:44:26
2
lyumbastarofficial :
MATOKEO YA MUZIKI WETU LEO, NDO KIKAO CHAO KILIAMUA. NA BORA WALIKUFA WALE JAMAA. MAANA MPAKA LEO TUSINGEKUA SEHEMU.
2025-03-08 06:42:50
1
Mansa :
aiseee
2025-02-14 10:06:56
2
ngoningonnile :
Ndo maana wakafa ila waliwaharibia maisha bado wapo, MUNGU fundi
2025-02-14 13:01:59
2
Yovina Stephen :
Ruge alikuwa na nia nzuri tu. sema tu outcome ndio balaa
2025-04-19 20:02:22
0
lyumbastarofficial :
WATU WOOTE WABAYA WA MUZIKI, WALIJIFUNZA BAADA YA RUGE KUFA. RUGE ALIAMINI YEYE ANAWEZA KUWAFANYA WANAMUZIKI ATAKAVYO AKASAHAU KUNA ALLAH
2025-03-12 07:24:00
0
hasheemkaz :
Huyu mwamba kila wakati anamuuliza,"Sasa umebaki peke ako Nini kinafata" 😁😁😁 anataka mwenzake nae afe awafate wenzake
2025-03-19 15:36:15
0
Cardation :
Asaiv soko la mziki lipo kwenye mitandao Redio aziwez kuungana na kuwa nalengo mojo lakumpandisha msanii
2025-05-31 00:04:40
0
halima 🌺 :
💞
2025-04-25 22:49:38
1
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm
homepage.