ww unadhan dini ni uislamu au ukristo ata mababu zetu walikuwa na dini kabla ya izi zakigeni
2025-02-15 12:36:18
25
mkotya boy :
dini yenu yakikristo ndohatar kwa binadamu ndomaana mnabaguana kimadhehebu kwenye uislam hakuna huo ujinga mskit wowote unasali ndio Raha ya uislam
2025-02-15 11:16:20
2
Abdulikareem Omary :
Kweli kabisa wislamu wanaamini zaidi dini kuwa ni mpango wa Mungu wakati kumbe ni mpango wa warabu 😂😂😂
2025-02-15 09:50:37
127
𝕊𝕚𝕝𝕖𝕟𝕥𝕎𝕠𝕝𝕗 :
wameanza kusema ukweli
2025-02-15 09:46:16
80
imanjansely :
walijua tu kwamba baadae watu wataamka usingizini ndo maana kaandika kuwa siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo kumbe walimanisha watu tutaanza kujitambua kuwa dini ni mipango ya watu,
2025-02-15 15:06:40
23
Tssabdun :
😂🤣😅Hizo ndo bangi sasa, bila ya dini utamjuaje mungu????? Bila dini utamjua je shetani????? Bila dini utaipataje Imani????
2025-02-15 12:01:41
6
Rashid :
NINAKUKUBALI BOSS. YOU ARE SUCH A GOOD TEACHER.
2025-02-15 11:33:15
15
J.C.I.T.A :
Ni ukweli mtupu! Dini ni shetani!
2025-02-16 14:46:40
3
Baraka Dreadlocks :
wokovu ni nguvu za Mungu
2025-02-15 09:47:46
7
chuckyD :
Gwajima msikilizeni anajua anachoongea
2025-05-30 09:52:51
1
user908011796410 :
Ongeza volume dini ni zaidi ya uchawi
2025-02-15 11:48:48
4
Abraham Kiringi :
hiyo ni kweli baba.
2025-06-06 18:19:23
1
Ommy Watanga :
Mimi nilishawambia kuhusu hizi dini mkaniona navuta bangi ,Dini zimeleta umasikini mkubwa sana kwetu cc wafrica,Dini zimetuaribu, nachukia dini sana
2025-02-15 13:52:04
5
babaag :
huo ndio uhalisia sasa, watu wanapaswa kutambua hivyo
2025-05-26 09:29:52
1
itinde :
Huwezi kumwelewa kama huna D mbili, nakuelewa sana
2025-02-17 07:39:29
14
Emanuel start :
Wokovu sio dini,wokovu ni kumpata Yesu mwenyewe,kumbe ukiokoka unapokea wokovu na yesu ndani yako
2025-02-15 07:14:11
10
doctor chief chanyumoto :
Tena nyinyi walokole ndio wapuuzi wapumbavu maana mnajifanya kama mulishaga fika mbinguni mkarudi.bora mm mganga nimefungua kanisa la mizimu kalibuni sana maana hizo dini ni za wazungu na warabu
2025-02-15 12:07:42
6
user5148194299415 :
kuna wakati wachokonozi watapewa mauwa yao na watakosa pakuyaweka maana wanakaribia kuwafumbua macho wa afica
2025-02-20 12:35:41
1
Grayson Mariga :
eeeh sasaa kumechangamka ongea ukweli woote😂
2025-02-15 14:05:22
2
MELCHORY SHIKHUYU :
Awakening souls...only conscious minds will adhere
2025-02-16 18:48:22
4
trizzah okay :
waelimishe jameni
2025-02-16 14:25:44
1
Mr XLVII :
asante sana Askofu,wakubishie wewe sasa.
2025-02-15 12:02:00
3
KingTon..🤴 :
safi kwa kuongea ukweli
2025-02-16 13:46:17
0
Michael :
fungeni kanisa
2025-02-16 04:41:35
1
Ustadh Hamisi mwabega :
pumbavu
2025-02-15 18:31:05
1
To see more videos from user @pastor_eskaka_chaula, please go to the Tikwm
homepage.