kikubwa nywele Hazinyonyoki mabega hayajapanda juu wacha niseme alhamdulilah Ila kupima ndo hapan😂😂😂
2025-02-20 08:10:35
390
Riady mruma :
kwo ukimwi mzuri hapo ni huo unaochora 1 au 2????
2025-02-16 07:56:02
126
vinah💋💗💖💗 :
sasa kwahiy kumbe ikisom mstal mmoja kumbe bado nina ukimwai 😂😂 ukimwi +ukimwi= ukimwiring😂😂😂
2025-02-15 14:54:29
89
amainaamaina941 :
mm nilipma ukasoma mstali 1 ila baada ya masaa ikawa mitatu ila mmoja mwekundu miwil orange ila kwa mbal nikashangaa
2025-02-15 12:49:38
31
MAKASI BOY :
mimi nina group o-negative lakini kila nikipima ukimwi akicholi mstali wowote sijajua nini
2025-02-15 20:45:21
46
Grathom :
mm nauliz kwnn mtu ukiend kupim wakajut hauna wanakwambia ukapime baada ya miez kadhaa et
2025-02-16 14:25:17
29
P Didy :
Hakuna cku nilifrah kama jana nilipokua naenda kupima nikakuta kituo kimefungwa
2025-02-17 10:07:21
35
Po :
unprofessional personal 🤣🤣🤣
2025-02-15 13:08:34
15
Mickywills Elegance Empire :
niwe tu muwazi sipimi mbaka wagundue dawa 😂😂😂😂
2025-02-15 19:16:02
14
Winner🫂♏️ :
Vipimo vinatofautian au mbon me najuh 2 ni syphilis na kingin nd HIV
2025-02-15 14:40:52
7
suzanlubigili :
kama mtu Hana maambukizi inasonaje Sasa kama misitali yote ni HIV
2025-02-18 12:39:27
6
✨ :
napimaje ugonjwa wenyeww Hauna dawa
2025-02-19 14:58:41
13
Tee🌹🥀 :
nimetafta sehem y voice imekosa ila iko hv ,,,,Kipimo ukipima lazm itiki kwenye C" kikihaxhiria n kizima ko kama huna maambukizi y UKIMWI utabak mstar 1 tu kweny C " n ikitokea mstar wa 2 Tena bhs we
2025-02-16 11:48:34
23
prince 🤴hb.boy :
kwahy hapo inaonyesha mtu ana ukimwii?? au hana?? na kama hana inasomajee na kama anao unasomajee naomba kujua hilo please
2025-02-15 19:41:28
6
Vailethy Kusati :
mbona utuwaelewi mimi nilipima jibu lilikua Two na nikapewa ongera kumbe yote sio kweli naomba majibu sahihi unatuchanganya
2025-02-18 20:09:52
5
Fatuma Sungura :
kunasiku nilivurugwa nilipima ikasimamia c baada yakulala kuamka nakuta mistar3 nikampigiq dokta akanambia majibu sahih nidakika 10 hd20 kifuatacho nizombi kinageuka nilikitupa haraka sitak stress mm
2025-02-16 14:17:20
6
ishii :
jmn mbona mtu wa lab aliniamby ukiona umechora moja huo ni ukimwi wa tz ila ukisoma moja na mbili jua huyo mtu anamaambukizi ya ukimwi wa tz na wa nje ya nchi aloo
2025-02-15 20:34:05
7
Morgan dax :
kuna time nilijipima na iyo kitu alafu nikaitupa bila kuona result🥰👍 makofi kwangu👏👏
2025-03-06 14:37:21
5
Odilia 7269 :
we kwenda c Ina contro nn mmoja auna miwil tayar mitatu dakika zimezd 30 kuendelea usipotosho watu
2025-04-07 17:54:40
0
zero to one, the sun to the 🌎 :
haujui kueleza...
2025-05-08 13:58:34
0
kendy :
mm umenichanganya na kama mtu hana kabisa..itasemaje.??
2025-02-21 20:38:33
0
TeeMeela🌹🦋 :
Mnazidi kunichanganya kwaiyo ukipima ikionesha mstari mmoja n HIV pia😩😩😂😂😂😂😂😂😂
2025-02-25 19:11:57
1
charmychicca :
me naomb kujua mweny hiko kipimo na Jambo nae
2025-02-17 06:43:06
1
John :
Nakama mtu hana inasomaje kama 1 ni HIV NA 2 ni HIV Huoni ww nimuongo jifunze tena uje utoe ushuuda
2025-02-23 07:36:01
1
Dulla Dulla :
hii nayo sipimi hata munishikie bunduki
2025-07-15 11:40:44
0
To see more videos from user @kepherpaul, please go to the Tikwm
homepage.