@heart.of.worshipupdates: Tabia za uzinzi na uasherati ni matobo yanayoweza kukuzuia kukaa juu. Mungu hawezi kukuamini kwa mambo makubwa kama una tabia za mwilini. #ministermocky #mwakasege #gospelmusic #gospel #swahilitiktok #swahili #nigeriantiktok #petition #jesus #worshipmusic #godofwar #nathanielbassey #lover #elroi #dripyana #rehemasimkufwe #Injili #tanzania #samiasuluhuhassan #tbjoshua #bikiramaria #pastortonykapola #daressalaam #arusha #makonda #tanzaniatiktok #tanzania #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniaassembliesofgod #injiliisiyoghoshiwa #injili #nenolakweli #mahubiri #Yesu #trendingtanzania🇹🇿

Jesus and Me
Jesus and Me
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 February 2025 13:03:06 GMT
117339
7561
339
1291

Music

Download

Comments

mwangwale7
graceous Francis :
Open relationship😂guys tutulize vitobo😅😅😅 ukimwi unaua na ARV hamna sahv😂
2025-02-16 08:49:24
29
prophet.gosbert.gi
prophet gosbert gideon :
nywele hzo ndo ulizoumbwa nazo???
2025-02-17 03:03:31
4
user6123090229298
user6123090229298 :
Kwa mafundisho ayo mazuri natamani utoe izo katani kichwani
2025-02-16 04:37:48
14
lyakurime
lyakurime :
Mtumishi wa MUNGU napenda mafundisho yako yananifungua Sana akili yangu naomba MUNGU aniponyeshe na hizo tabia
2025-02-17 05:18:23
11
irenenasson
Irene Nasson :
mama asante jmn🥰 kanisa gan hilo woow! i like this be blessed
2025-02-16 08:07:30
9
leem2024
Leem :
Wakristo msiwe mataahira wa kuskiliza kila mtu kanisani. Mwambieni huyu mpuuzi akasome wakorintho (1) 14:34-35. Mwanamke amekatazwa kuhubiri kwenye biblia! Kwanza huyu anahubiri anachamba?
2025-02-18 08:19:16
8
katiegeophrey
k.a.t.i.e🦄 :
Ongea mama...n hiz tabia zinalet ukame wa kiroho
2025-02-16 08:15:38
7
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
Mithali 29:18 Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.Asante mchungaji , Siku ARVs zikipotea Taifa litapoteza nguvu kazi nyingi sana Zinaa inafanyika sana
2025-02-18 04:07:07
5
datinna9
da tinna🤍🦋 :
Amenn
2025-02-16 06:48:27
3
reys.the.boss
RAY THE BOSS 👩‍💻💰 :
kwani wew mpka hapo ulipo ujana watu wote umeshatembea na wanaume wangap?? mpka umeolewa 😂😂Acha kusema watu na hilo wigi lako la mbwa mbwa 😂😂😂😂
2025-02-18 02:43:45
4
bkthebosslady
BKthebosslady :
injili halisi
2025-02-16 08:42:59
5
angelraphael619
office snashy :
Asante kwa neno🥰
2025-02-16 09:25:47
4
iamjenny255
iam jenny🦋 :
@DANNY @UTAKATIFU🎚️ @Moses JJ Kuandika @Stacey with love❤️ @Ms Mary💃🏼
2025-02-15 16:32:15
4
.a.d.e48
@.A.D.E :
SEMA Hilo Tako mimi hoi
2025-02-16 08:15:26
3
happynessdonald12
Happyness Donald126 :
Kabisa😂😂😂😂
2025-02-15 21:35:20
3
mamj601
mwajumahaji702 :
Jamani dada Mbona mimi namuelewa saaa jamaniiii😅
2025-02-16 10:03:10
3
rehemaramadhani27
rehemaramadhani46 :
kweli kipenzi 🥰🥰🥰🥰
2025-02-16 10:30:48
3
baraka.zabron4
Baraka zabron :
👏👍👍👍🙏🙏🙏the true speach
2025-02-16 15:01:29
2
missboss873
Miss boss💕♥️ :
Ameeen 🙏♥️♥️
2025-02-16 04:55:59
2
dream.gal647
Dream gal🌼 :
Amen
2025-02-15 21:47:04
2
userkissa246
Kissa Daniel :
🙏🙏🙏🙏
2025-02-15 20:29:17
2
alice.ouko
Alice Ouko :
Amen
2025-02-15 14:22:49
2
nanahsammy
Nanahsammy💕 :
Ameen
2025-02-15 15:13:43
2
user792086837
peter :
injili ya mipasho lakini hii imeenda tuache uzizi tumgeukie Mungu hapo angeubiri pokea magari pesa tusingemkanda kuwa anatukalipia tukubari kuonywa
2025-02-18 14:59:35
1
user42169333797814
0786368794 :
EMENI
2025-03-06 15:53:44
1
To see more videos from user @heart.of.worshipupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About