@mtembezi_tnz: Wanajua kutia huruma😅🙌🏾. #tanzaniacomedy #tiktoktanzania #fypagee #funnyy #roadlife #landcruiser #1hz #turbodiesel #roadtrip #arushatiktok @Mzee Shayo

MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 February 2025 13:11:15 GMT
100426
3693
131
115

Music

Download

Comments

mussa47hussein
mussa47hussein :
🤣🤣🤣 mbona wewoooh
2025-02-16 19:14:24
1
rj.mshana
mshana :
ntakuja kumuomba traffic ela ya kula ngoja t 😂
2025-02-15 13:36:59
7
mtembezi_tnz
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ :
Mwisho wa rambirambi ni leo jioni😅
2025-02-15 13:58:26
14
tanzaniamoments
Tanzania_Moments_Adventure :
madereva wote wa 1hz tutakuwa na kikao chetu kesho na utahitajika mahakamani Kwa udhalilishaji😂😂
2025-02-15 16:06:46
4
dullymsafi467
Kilama :
Kaka umeanza kutufatilia embu tuache bac 😂😂
2025-02-15 16:08:30
4
ebm2819
EBM2819 :
😂😂 dah
2025-02-15 13:57:06
2
dramaboy77
Federico :
nitakupitishia hela badae jioni me napitasana hii barabara😂
2025-02-15 13:47:27
4
ibrahvonb
Ibrahim Bangwe :
😂😂😂tukutane kwenye mavumbi mzee baba
2025-02-16 06:22:34
2
fau60
FAUSTINE :
HII VITA watu wa 1kd tuiingilie😁😁
2025-02-15 15:14:33
1
shabani.mussah29
Shabani Mussah29 :
😄😄 kumbe hiyo ndioo dawa yao😆
2025-02-15 14:51:49
1
vanosimwimba1
Vano finest of songwe :
hioo ndo shida ya 🤣😂🤣DFPA
2025-02-15 13:36:40
1
evelius.kamulema
Evelius kamulema Vedasto :
🤣🤣kaka uongo uo bhan
2025-02-15 13:29:02
1
msengiafras1
official msengi store :
unatafuta ugomvi na watu wa 1hz wamekuvumilia mtandaoni sasa wazee wa mitambo watakujia na mapambano ya kimwili
2025-02-15 17:30:37
4
godfreymagambo
godfreymagambo :
kaka kumbe wewe ndo mgomv unawaanzaga😃😄😆😅😂🤣
2025-02-16 18:39:58
1
nassoro_mnyali01
MGUUWAKUTOKA🇹🇿 :
saivi ndo uwe mwendo huo labda patapumua barabarani😂
2025-02-15 19:30:09
1
roadpartner2
D Mbili 1Hz 🔥 Jr. 🛣️ :
Sijui nilitaka kusema Nini Lakin fresh Mwanetu Tukutane Road
2025-02-15 19:28:26
1
beingmose
Being Mose :
😂😂😂 daah Kweli Mtoto kautaka 😂
2025-02-15 19:26:00
1
_lando
smileeeee :
washa gari uondoke😂😂
2025-02-15 18:08:22
1
fadhilkassim373
Fadhil Kassim :
ikifika mwezi wa 3 ,1hz zote zitakuwa ni I.S.T
2025-02-15 13:45:35
1
karate.nomichi
karate nomichi :
eti ntakupitishia jioni.. washa uendee
2025-02-15 13:37:58
1
mr.crowned3
Mr Crowned :
Kaka watajaa hapa kaka😂
2025-02-15 13:24:18
1
blessing_jr_07
Blessing Daudy :
😂😂😂😂😂 We jamaa utakuja upigwe
2025-03-11 16:53:45
1
josehwalker_
Josehwalker_✅ :
mataa ya kwa waziri mkuu
2025-03-07 13:53:13
1
zombies3211
Tãbá Sámú :
𝐝𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐩𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐳𝐢𝐫🦋
2025-02-16 17:23:58
4
erickpaul333
ZLOGIC :
emmaus ya pili 😃
2025-02-16 13:04:57
3
To see more videos from user @mtembezi_tnz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About