Hivi walitumia vigezo kulifanya hili pori kuwa Jiji 😄😄 bora Tanga mother land 😂😂😂
2025-02-16 19:01:38
14
jemimah618 :
Mbeya kwetu nakupenda Atakama Kuna gorofa Moja🤣🤣🤣
2025-02-16 19:09:19
17
Joseph :
How comes likawa Jiji??? 😢
2025-02-16 11:25:12
3
ulipambane :
vinyumba vya simike kinyaa! Mbeya nayo puu!
2025-02-16 05:58:27
5
Kevooyanga :
daah serikali ifike mahalii iwavute matajiri wajenge hata gorofa ndefu ndefu hapo mbeya maana jiji limezidi na nyumba za ukoloni😁
2025-03-05 18:28:43
10
Eviry masck :
Jaman Mji wazaman ata habadiriki Duh Mbeya Bat nying zimetoboka
2025-02-16 04:13:45
6
Kelvin charles :
Taka taka amna jiji hapo
2025-02-16 04:55:44
3
blackpanther2600 :
Huo mji unahitaji kazi ya ziada aisee nimefika hapo mara 3 panaitwa jiji pengine kuna vigezo vyao walitumia sijui lakini kuna manispaa ziko vizuri sana kuliko hapo
2025-02-18 06:18:09
1
MAN TIRO🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
😂😂😂😂mji kasoro barabara
2025-02-16 14:00:22
1
Ochu outfits code :
mji umenipa utajir huuuu 🤣🤣🤣🤣 naupenda sana
2025-02-25 14:35:46
2
Beah wa Hudy🥰 :
Watu wa kwenye nyumba hizo wengine walizaliwa kwenye hilo ghorofa hapo,
2025-02-16 21:56:40
1
sweet muu :
wa uyole ya juu, chini, na kati tujuane hapa
2025-03-04 05:39:02
3
FungoGB :
fika mbeya sasa ukutane na vumbi na matope ndio utaelewa maana ya nao wambeya