@doctor.wa.wanawake: Replying to @mahad unene tumbo kubwa au nyama uzembe inakufanya USIKAE Huru sometimes NITAFUTE nikusaidie#weigh #weightlosstransformation #weightlifting #for #foryou #trending #weight

doctor.wa.wanawake
doctor.wa.wanawake
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 February 2025 18:52:52 GMT
50684
801
48
15

Music

Download

Comments

gold.g7
Gold G💦💦 :
huo ni mchanganyiko wa nini na nini
2025-02-15 19:08:47
0
blandinangata666
Blandina Ngata :
ni kweli kabisa ninawiki mbili sasa natumia hyo inapunguza kitambi kwa kiasi kikubwa
2025-02-18 05:11:21
3
mkabadachi1
mkabadachi1 :
Tatizo na tako linapungua 😭😭
2025-02-18 13:33:42
0
lilianfrancis717
Lilian Francis :
hapo umesahau tangawiz yaan inasaidiaa saaana iyoo kituu kwa mim imenisaidia saana jaman maan nilkuw tishio
2025-02-17 08:44:02
1
joyceaveline34
joyceaveline5 :
aipunguz nyashi
2025-02-16 17:25:22
0
tullymngongo
Tully Mngongo :
naomba siri
2025-02-17 15:26:57
1
kizzomanizzo372
bcute ezzy🥰🥰 :
mchanganyo wa nn huo jamn
2025-02-16 18:40:34
1
momybrighton1
Mom Brighton&Gift 💞 :
naweza kutumia ndimu mbadala wa limao
2025-02-21 07:27:56
0
halimaabuu52
Halima Abuu :
nafanyaje nipungue
2025-02-20 15:46:53
0
mwajumamzome
user1452584813830 :
shoga zangu tuambizane maan haya matumbo yanatukosesha amani nichanganye nini na nini🤔
2025-02-20 10:07:38
0
daksh4731
daksh :
Ukinywa hiv hauri au
2025-02-19 09:15:32
0
aishaahmed908
user953112096 :
jmn m nataka tumbo pekee mna sna nyas ikipunguza na nyash tu kwisha habar
2025-02-18 19:18:25
0
user747510955975
user747510955975 :
naomba unielekeze naweka na maji ya uvugu vugu au
2025-02-18 12:48:39
0
user1093227476184
Naymu nasibu Nasri :
kwa siku una tumia mla. ngapi
2025-02-18 12:08:57
0
evodr3
evodr💃 :
msaada jmn
2025-02-17 18:22:52
0
rayyanamour01
Rayyan Amour :
Nimchanganyiko wa vitango, maji ya ndimu au limao km sikosei na nn huo jaman!!?
2025-02-17 17:46:52
0
kemmykimaro
coco :
Maji ya moto au
2025-02-17 15:07:57
0
user83487517069843
royce :
hyo ni tango na je nafanyj
2025-02-17 08:47:01
0
zainabu6097
Zainabu :
nipeee my
2025-02-19 10:38:59
0
user6302526982735
user6302526982735 :
hapo ni tango na limao
2025-02-16 18:49:16
0
tiffany.for.real
Tiffany for real :
😘
2025-02-15 21:27:11
0
user9221119983285
madam guy :
niliwah kutumia miat y nyum ila alhamdulillaah ilinifaa n nilikua najiskia nimtu wa aman t
2025-02-17 05:15:45
0
user4377026659974
Veronica deoglatius :
jaman nisaidieni na mm nataka nipunguwe make nihatali
2025-02-18 08:34:02
0
To see more videos from user @doctor.wa.wanawake, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About