M mpaka umri huu, sijawahi kuona baba ananunua hata mboga za jero anampa mama kuwa atpikie.Vyote n kwa mke mwenza, miaka mingi mama umenitoa mbali san
2025-02-16 16:12:49
12
hassankhamis881 :
Nyinyi wamama ndio mnatuaribu tukiwa bado wadogo
2025-02-16 07:12:36
13
r7 one :
nimekupenda bure mama angu
2025-02-16 12:04:50
8
El Maestro :
tunawapenda sana wamama zetu kwasababu hao wanatuonyesha mapenzi sana, its automatically done
2025-02-16 09:36:11
1
George Makoye :
Ivi unamjua mzee wangu wewe kauzu kinoma kwanza haamini kitu unachofanya mbali wao wanataka mulime na kukaa wote wazee wetu hawa jau sana
2025-02-16 13:50:21
0
Gideon :
samak mkunje akiwa bado mbichi shida ukorofi
2025-02-16 20:15:11
3
theleza Katwale :
sio kwa jinsi ninavyo mpenda baba angu kila siku napiga sm nikikosa salio hiyo siku mmh
2025-02-17 03:10:07
2
Moses l mwarabu :
Sababu ni kwamba baba kuwa na wake Wangi na hakuna matumz That's the problem
2025-02-16 19:15:36
1
KIBOKO YA WAKENYA :
sababu kubwa ni UMASIKINI ,baba anajulikana kama super power wa uchumi wa familia,kama mtoto aliwahi kulala chini bila godoro,alishawahi kosa ada,alishashinda na kulala njaa,alishakosa nguo,alishalala nyumba mbovu ,upendo Kwa baba ni mgumu sana atakuwa anajifosi tu.
2025-02-16 18:16:05
1
Mrs panga(Hellen)🌹🌹 :
mungu nitunzie baba yangu mpe miaka mingi na yenye heri hapa Duniani 🎉 nakupenda sana baba yangu ni wewe tuuu
2025-02-17 05:50:18
3
marki joseph :
Wazazi wote nisawa ugomvi wamama na baba haunihusu
2025-02-16 14:55:06
2
Steve kanyikea✅ :
Duuu😭😭
2025-02-16 11:50:19
2
JT255 :
kweli kabisa kabisa
2025-02-17 15:11:29
1
MJ :
mama angu Mimi hana muda na simu simu ni kwa baba
2025-02-17 08:55:32
1
Julias Lukumy :
mim sina Baba nimpgie nani☹️
2025-02-17 07:14:51
1
shebe msangi :
mmm mzee wangu nisalam tu amesha kata sim mambo mengi mno
2025-02-17 03:57:10
1
Nickson agwambo :
ninakuombea miaka mingi umenigusa
2025-02-17 03:14:10
1
lemalimollel :
pokea maua yako mtumishi
2025-02-16 20:26:02
1
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.