@drmoh200: ❌ Ugumba – Maambukizi yanaweza kuharibu mirija ya uzazi na kuzuia yai kusafiri hadi kwenye mfuko wa mimba. ❌ Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy) – Mirija ya uzazi ikiwa imeharibika, yai lililorutubishwa linaweza kukwama na kusababisha hatari kwa maisha ya mama. ❌ Maumivu sugu ya nyonga – PID inaweza kusababisha maumivu ya muda mrefu, hata baada ya matibabu. ❌ Kutokwa na usaha ndani ya fupanyonga (tubo-ovarian abscess) – Maambukizi yanayozidi huweza kusababisha uvimbe wenye usaha kwenye mirija ya uzazi au ovari. ❌ Kuwa hatarini zaidi kupata maambukizi ya VVU – PID huongeza uwezekano wa kupata maambukizi ya UKIMWI ikiwa mtu atakutana kimwili na mtu mwenye VVU.... usiogope ,je unataman kujuwa namna ya kuepukana na PID ?Basi usiache kunifollow ili kujifunza Zaidi... njoo inbox nikupe ushauri zaidi 0752806290 Moh Health Care #mohhealthcare #wanawake #uzazikwamwanamke #tiktoktanzania🇹🇿

Nutritionist
Nutritionist
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 February 2025 06:03:44 GMT
122
3
1
1

Music

Download

Comments

drmoh200
Nutritionist :
unaweza kunifollow ili kujifunza Zaidi
2025-02-16 06:10:49
0
To see more videos from user @drmoh200, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About