@hamasikatv: Jinsi ya kuwa Gentleman katika maisha ya kisasa - Joramu Nkumbi . . . #hamasika #badilishamchezo #trendingvideo #tiktokviral #inspiration #mahusiano #mapenzi #motivation #tik_tok

Hamasika Tv
Hamasika Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 February 2025 06:38:08 GMT
164288
10198
460
932

Music

Download

Comments

leem2024
Leem :
Uislam una best solution for the western problems
2025-02-18 08:09:36
39
mbullaj_
Mbullaj_ :
Ndo maana Trump kafuta habari ya kugawana mali 😏
2025-02-17 09:29:16
110
omarykaseja
omarykaseja :
Someni uislamu unazungumzia nini maisha mwanaume kwa mwanamke
2025-02-17 10:46:22
55
qualifier96
Qualifier👑 :
Ndoa ni utapeli Guys Don't get married
2025-04-05 13:47:20
3
woltizo
walter :
ugentel man au uhouse boy 😂😂😂
2025-02-18 10:33:19
30
mafuta.dodoma.aliz
MODERN VIEW SUN FLOWER :
maandika yanasema nitakufaanyiaa msaidizi nashaangaa msaidizi anataka afanyiwe kila kitu
2025-02-17 15:10:27
21
andreawilliam781
andrea :
acha ujinga wewe unashauli vijana wawe wanapikia wake zao ety huo ni ujinga
2025-02-25 21:04:07
7
valencechacha
Valence Chacha :
ni upumbavu kwa kweli, eti gari yangu afu nimfungulie mlango, never 😂😅🙌🏾
2025-02-26 14:36:35
2
user37910184246206
user37910184246206 :
mm ukinishinda kwa sheria nitatafuta namna nyingine nikuumize tu hatuwezi gawana mali nilizochuma kwa jasho langu afu nfumbie macho labda m syo mkurya
2025-02-17 21:49:32
17
2adamson_george4
Adamson George. :
Mimi siyo gentleman kwa biashara kama hizo.
2025-02-20 17:39:13
3
danielconte065
Conte de 26 :
gentleman kwa nani wewe fanya uwe mtumwa
2025-03-18 06:34:18
1
winlogan001
winlogan001 :
kwani ndoa nini?
2025-02-17 15:01:19
7
mollesgblrk
Big Boy :
Uislamu ni nini we Mpuuzi? achana na Mila na Imani za Waarabu we kenge
2025-03-01 21:02:07
5
yusuu.01a
Aposiano 01A :
serikali apo inakosea yani naenda kupiga zege najipambania mwisho nyumba tugawane ilo nimekwisha kataa wajipange tu kwenda mahakamani
2025-03-31 02:36:45
8
josephwebilo
Joseph Webilo :
hyo jamaa anaongea point sana ila wachache watamuelewa wenye akili zetu 😅
2025-03-20 12:54:40
1
lyricvibe_3
🎵 :
KUWA MWANAUME TABU SANA, IMAGINE UNAMPA HELA MTU ASIYEKUDAI
2025-02-17 21:43:52
18
dotto.robert_
dotto Robert :
duuuh. hii 😏50/50 ni silence killer. dadeq zake kabisa😳😁
2025-04-14 09:47:07
1
bang9419
boogie :
aaaaaa ndo mana tunakufa kama kuku
2025-04-01 20:54:30
1
user5505140461685
@promax✨ :
am serious nataka mchumba ali single 🙏
2025-03-18 15:04:25
1
makalamangi
Makala :
kwenda zako huko. wee ongea tu kiswahili , hizi mambo haya huyajui mwehu
2025-02-20 04:51:55
0
tumainielmathias
tumainielmathias :
stafanya upuuzi wa kufungulia gari ,sjui nimpikie,,et nipige magoti nikimvisha pete . hyo ni ndoto sitafanya upuuzi huo .
2025-03-07 10:39:16
4
user5505140461685
@promax✨ :
Hata mm natafuta mchumba jamniii wadada hamnioni nipo serious 🙏🙏
2025-03-18 15:05:21
1
iddyrojer
Iddy Rojer :
ugentleman ni ujinga tu hutaki kwendraa😂😂😂
2025-03-29 06:05:19
1
xiangh14
. :
😁😁😁 bro huo ni u house boy siyo gentleman
2025-02-19 22:08:17
2
mrggilfan
Khalfan :
Safi sana!
2025-02-27 03:26:54
1
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About