@herbalistmedical: Faida za mti wa mlonge longe katika tiba#zanzibartiktok #zanzibar #pfypシ #fyppppppppppppppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania🇹🇿 #drccongo🇨🇩🙌🏾 #uganda #tiktokkenya🇰🇪

Herbalist Medical
Herbalist Medical
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 February 2025 07:33:23 GMT
337293
4114
147
988

Music

Download

Comments

saidisadickwegoro
saidisadick :
nikweli kabisa sema umewaficha kuwa unatibu kabisa ukimwi
2025-02-22 15:38:14
10
elinah319
stubborn girl 🤪🤪 :
hii inatibu hats virusi niulize mimi
2025-02-18 11:38:50
3
didah3342
didah :
huu mti kwa nyoka 😂😂😂
2026-03-04 20:28:52
0
ngimba.ngosia
ng'imba ngosia. :
HUO NI MLONGE SIO MORINGA. MORINGA NI KAMPUNI ILIYOGUNDUA DAWA YA MJONGE.✍️
2025-03-05 07:25:32
3
sigilisuleiman
sigilisuleiman :
mimi naomba kuuliza mbegu hizo nazitumiaje?je nameza au nazisanga?je majani yake nashemsha ndo nakunywa yaji yake?na napaswa kutumia kiasi gani?
2025-02-19 13:24:42
6
mama.g.herbal.life
MAMA G HERBAL LIFE :
Nakukubali kwa asilimia mia moja...sisi tumeuboresha kwa kuchanganya na vitu vingine upo power full.
2025-02-17 08:08:34
5
www.tiktok.comnana900
crisnanas :
eti wewe ni witch doctor 💊 👿🤣🤣🤣
2025-06-21 05:17:18
0
ulthuma
CHIMAMMY ❤️🌹🦚🦋. :
mzungi
2025-02-18 14:14:26
4
mussa.peter4
Mussa Peter :
tuna miti hii lakini hatujuiii kutengeneza hata ARV alafu tunawasomiiii
2025-02-18 06:47:22
4
azizaa155
Azizah hasheem2 :
Nikikumbuka nyumban kwetu😂nilikuwa nabebemba kumbe huku ni biashara
2025-03-08 19:59:29
1
abdallahmwaricha
Dullayo :
unaongea sana lkn jinsi ya kutibu huelezi ss hapo hueleweki bro
2025-03-27 04:40:08
1
linahmassa
rahima :
yani kila mtu anasema kivyake wengine mbegu zake zinaongeza kinga tena imekuwa na mizizi duhu
2025-03-01 13:33:48
0
haircuty5
haircuty :
mzizi dawa ya u t i
2025-02-25 10:42:30
3
jackiekadzo5
jackiekadzo5 :
hii inasafisha tu tumbo na sio kumaliza kitambi😹😹😹😹😹😹msijichanganye
2025-06-20 18:37:14
5
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
umesha sema mronge tena moringa umitowa wapi tena 😂😂😂
2025-02-26 08:42:33
1
salmaseif851
Salma seif :
km una hiv chukua majani na mizizi kausha ndani theni twanga vyote upate unga kisha tumia kutia kwenye maji uvugu au uji kijiko kdg kila ck hasbh
2025-02-22 14:56:12
3
its_niffah2
🎀Añį¥~hãţųñ🎀 :
si tunapika ugali tunatumia hii kama mboga majani yake
2025-02-19 10:38:17
3
ramkatidlucifer
user445609779125 :
unatibumpaka ukimwi nilishuhudia mtu anatibiwa na kupona kwa ukimwi kwa mizizi ya mti huu
2025-02-19 23:29:23
4
leahjacob312
♡♡ :
hizo tembe utatumiaje utazissga ama wameza kama dawa na wafaa kumeza ngapi kwa cku
2025-02-17 13:21:38
2
sebagabosibomanas
sebagabosibomanas :
Sasa dakitari nitaitumije majani hayo na mizizi nikupika nitatumiaje
2025-02-17 19:40:26
1
user854565123281
Aisha :
ahsante
2026-01-21 15:01:59
0
829lynnsai
lynn sai sei❤️🌹 :
ARV
2026-03-17 03:19:59
0
dijahmaumba
dijahmaumba :
P
2026-03-19 03:41:18
0
phema6523384453801
phema product :
ni kweli huo mti una tibu mambo mengi ila sisi tuna uboresha kwa kuchanganya na miti mingine na tunauza unga wa mbegu,unga wa majani,unga wa magome.
2025-08-24 11:29:13
0
davidpililoalimas
davidalimasi :
matumiza sasa mbona ausemi gisi yakuitumiya
2025-02-19 12:42:43
0
To see more videos from user @herbalistmedical, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About