I used to think beer ni lifestyle until nirudi kwetu ushago nione how wasted young men are .and I swore to never put that thing in my stomach again
2025-02-17 19:04:41
67
Chebet.M 💗 :
Apple juice 😂
2025-02-17 17:45:03
14
Her Majesty 👑 :
Hiyo ni minute maid 😂😂😂
2025-02-17 19:19:03
7
✨Angelique diana✨ :
tunajua juice ya apple🤣
2025-02-17 22:21:48
8
Max Lavin :
kama hii ndio advice unapea followers wako. Ukona shida bro😏
2025-02-19 08:35:18
1
̲BnB :
I used to think pombe ni tamu😂
2025-02-18 17:46:46
1
@Mira :
pombe sio ya kila mtu some of us have childhood trauma's coz of that
2025-02-18 17:11:16
1
EeehRico🇰🇪 :
umechukua take Away ya content😹
2025-02-17 22:07:07
1
Brayo marcus :
maliza strong tea🤣🤣🤣
2025-02-17 19:48:06
1
mirriam :
teach me 😅
2025-03-08 13:47:35
0
Vincent Kingpin 👑 :
once once tuh inatosha...just dont get addicted
2025-02-25 19:30:30
0
johnny fox 🫠 :
😂😂 tunajua unakunywa turungi 🤭
2025-02-17 17:13:24
167
pearl :
Mimi no Fala tu kama wewe
2025-02-17 17:29:31
23
@BonnyMwass :
Wenye waliacha pombe musimind nawao waliupgrade to MAFOREIGN🙌
2025-02-18 17:22:53
6
Mr. Olal :
huwezi elewa mzee...mi niliacha
2025-02-17 21:17:04
5
Bella kids toys Kenya :
Wachana nao ma pretenders hypocrites wanajiona very holy some of them waki judge walevi ..na bado kwa walevi unaeza saidiwa kuliko umejificha....ngoja uwaone apa
2025-02-18 12:45:02
2
Singo Bachera 🇰🇪🇵🇸 :
Waja niende kwa vikombe basi 😹😹😹
2025-02-17 17:26:13
4
_TRACY♓ :
😂😂😂Hakuna waaw waaw?
2025-02-17 17:06:21
3
rayoyvng :
Na kwani hiyo pombe yako ni tamu aje😂😂😂
2025-02-17 19:54:47
2
KIRICHIA.MD :
hyo ni majani sindio?
2025-02-17 17:19:27
2
myk mnaty :
😂😂😂😂😂na haujasema ni falaaa😂
2025-02-17 17:14:02
2
shiko mungai KE :
naendea sai sai
2025-02-17 17:11:39
2
Winnie ntinyari :
unakunywa kahawa hapo alafu ushinde ukiwambia watu wakunywe pombe😂😂
2025-02-18 12:52:45
0
karizcakes :
wewe ni kama huwa unatumiwa na saitani😥
2025-02-18 11:18:36
0
To see more videos from user @tonniempole, please go to the Tikwm
homepage.