@laughs_on_leonardo: HIZI CHALLENGE 😂😂😂😂😂 @_lu.ivan NIC @nic_insurance wanakuletea BEAMLIFE INSURANCE ambayo Ni Bima ya Maisha inayotoa riba shindani (kikokotoo cha kampaundi) kwa fedha zilizowekezwa kidogo kidogo au kwa mkupuo. Kwa kujiunga na bidhaa hii mteja anapata faida inayotokana na uwekezaji wa masoko ya fedha na mitaji huku akinufaika na huduma za ziada za rambirambi kutokana na kifo kinachoweza kutokea kwa mke, Watoto au yeye mwenyewe. Hivyo,faida za BeamLife ni uwekezaji unao ongeza ukwasi na fidia kutokana na msiba. Karibu kwenye ofisi ya karibu yako ya NIC @nic_insurance kujiunga au unaweza kutumia app ya NIC kiganjani. NIC……SISI NDIYO BIMA @nic_insurance @nic_insurance @nic_insurance