da rahman mbona mimi nikiota ndoto nasahau na alafu ugomvii na mume wangu hauishii kitu kidogo kinakuwa kikubwa mume namuhisi hanipendii
2025-02-18 18:42:16
11
艾Br¥an :
Ukiachana na mafundisho unayo tupa,pia ww nimzuli😍😍🙌
2025-02-23 13:00:08
10
Rose Mutua :
ukweli kabsaa. mm
nliona na nikaskia kwa marehemu nyanyaangu
2025-02-20 22:51:59
2
Ngonifaceless channel :
wkt wa SODOMA NA GOMOLA mungu aliuua wenye zambi wote akaacha wachamungu Tu, ambao NOAH aliwabeba kwenye safina, baada ya miaka watu wakazaliana dhambi za zinaa ulevi uchawi, umbea zikarudi vile vile
2025-02-23 11:17:39
5
jujustore08 :
Umeongea kitu Kikubwa mnooo🙌🙌🙌😭😭😭😭 aiseee watu wa rohoni tumeelewa, ni wakati wa kuchkua hatua mapema kutengeneza watoto wetu spiritual
2025-02-19 08:46:33
8
SoFia mfalme wa kike :
dada Rahama rehema na baraka zikufikiye Ameen
2025-02-28 01:15:19
2
kemi♦️ :
ngoja niache umbea maana ni mbea Mimi atariii da rahmaa najitaidii kuacha lakinii nashindwaa nasipendii
2025-02-19 11:48:06
0
Achii :
Ukweli kabisa....hila wapo ambao awatatuelewa🤝
2025-03-14 23:43:34
1
Chuchubella Ashmaster :
ubarikiwe mamy unatufumbua akili zetu Allah akupe umri mrefu
2025-04-07 18:54:26
1
Nasra Hussein :
Point Rahma unakipaji unaakili mno🥰🥰🥰
2025-03-26 20:35:38
1
stellarichadmtang :
da rahma sijui niseme nini ila nakupenda.nakuomba kitu kimoja kutoka kwako! nakuomba nakuomba tena. hebu niangalie kajuso kangu edha utagundua kitu.
2025-03-16 16:38:35
1
vira_health_tips_♊️🧿 :
mimi mwanangu alikuw jeuri hataki kusoma mambo mengi nilikuwa nampiga sana hasikii ila mwaka juzi nikaanza kumuombea na kumtolea sadaka sana yani sasa hivi amekuwa mpole mwema haongei hadi namshangaa
2025-04-01 22:42:44
1
💕 Azmax :
dada nakupenda bure japo kun mda sikuelewi lkn ichoicho kidogo sikosi kukusikiliza jmn una pepo yako jmn
2025-04-07 12:16:21
1
key :
kama kuna kaukweli hivi😇
2025-03-22 12:02:13
1
Issa Abdallah :
nmeanza kukupenda ghalfa
2025-04-02 08:39:04
1
true life :
umenifumbua jambo kubwa sana nitalifanyia kazi
2025-03-24 21:58:13
1
rosemarymlowola :
yaani nimehisi kufunguliwa asante sana mpendwa
2025-03-31 13:08:11
1
Doy Tonie♐ :
nakuelewa alafu Nakupenda sana rahma wangu😊
2025-03-12 08:53:16
1
Mamito Kitiku :
Mungu akutunze na kukulinda kwa kutufunza...be blessed
2025-03-14 15:49:22
1
Ngonifaceless channel :
WARUMI 8:26-28
Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa
2025-02-23 11:24:06
1
SHOOMY DELICACIES :
Ww na munno muko na nafasi zenu moyoni mwangu 🥰
2025-02-18 17:28:48
2
@philbert :
utatuelezea na mafanikio yanakuwaje kupitia maancestors wetu
2025-02-22 07:54:02
1
mrs irene ❤️ :
dada rahma samahani nifanyaje ilikujiondoa kwenye nuksi na vifungo
2025-02-28 08:52:10
1
Frida Kanje :
mm nalijua kusudi lang la kuumbwa ila nashindwa kufikia,ntafikaje????
2025-02-23 17:03:51
1
mamu.ntar112 :
Vingine waache rahmaa mtengeneze yule dada pale pacha ako wengi wana laana za mababu uko right❤️
2025-02-21 09:28:36
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm
homepage.