@faridabeautyacademy: CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema DARASA LIJALO LITAANZA 03.03.2025 Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo 📌MUDA WA KUINGIA na KUTOKA DARASANI NI Saa tatu asubuhi hadi saa kumi jioni NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇 https://youtu.be/D_mYj2FXMb0?feature=shared
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Wednesday 19 February 2025 10:36:19 GMT
Music
Download
Comments
Shymer :
Top💯🔥🔥🔥🔥
2025-02-21 16:35:18
0
zawaazena :
nahitaji full set ya makeup please
2025-02-21 06:19:21
0
Asnira :
Is it available in Kenya
2025-02-20 14:36:37
0
Happines Mikaili :
😂 Mimi nahitaji set, nawapataje?
2025-02-19 18:02:24
0
Kenzlee06 :
wa mkoan unamfundishaje akinunua vifaa
2025-02-19 17:33:22
0
PINEAPLE 🍍777 :
hio unalazia nyusi unauza Tsh ngapi
2025-02-19 15:24:53
0
zawaazena :
mtu anisaidie hyo 2000000 n how much in Kenyan money
2025-02-21 06:22:02
0
🦋farajakenny🦋🥀💝 :
🥰🥰dada farida nipo mkoani natak kujifunza full kozi nikuje lini
2025-02-20 11:33:41
0
isha :
mm sijakupata
2025-02-20 11:30:21
0
nataka kujifunza shingapi
2025-02-20 05:29:48
0
dosim :
nina mdogo wangu nataman ajiunge na chuo chako ila sijuw taratibuu
2025-02-19 21:53:27
0
serah_k :
makeup peke yake bei gani
2025-02-19 21:02:55
0
aminammary :
nnaomba link ya group..
2025-02-19 19:47:25
0
plame :
mwenye iko USA
2025-02-19 19:11:24
0
v money💸 :
naomba uniunge kwenye grop
2025-02-19 18:37:11
0
v money💸 :
habari
2025-02-19 18:36:52
0
madam queen 🥰🥰💫 :
nuru
2025-02-19 16:37:46
0
user9004368117238 :
🥰
2025-02-21 07:19:02
0
Ruhy Bassafar :
🥰🥰🥰
2025-02-20 06:32:46
0
it's gee :
💞
2025-02-20 00:45:17
0
jina :
🥰🥰🥰
2025-02-19 18:24:04
0
Aisha make up :
🥰🥰🥰
2025-02-19 17:40:51
0
kipurunyaa :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2025-02-19 16:43:59
0
musilimotoluwafun :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2025-02-19 15:05:52
0
Fatma kaabiy :
🥰🥰🥰
2025-02-19 14:33:15
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.