@mabenatv_tz: Ukiona Mwanamke anatoka nje ya Ndoa ( ana ku-Cheat ) basi jua Mapenzi yameisha na kama atafanya kosa hilo hutakiwi kumsamehe. Follow us na Tembelea YouTube channel ya MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi #mwanamke #mabenatv #women #tanzania
MABENA TV
Region: TZ
Wednesday 19 February 2025 11:22:14 GMT
Music
Download
Comments
aliko salimbundule :
unaongea ivo bro unatak akusikie mkeo ilikusudi aogope kuchit akijua kua hutamsaneh utasameh tu ww hamna kitu apo 😂😂😂😂😂😂
2025-03-25 20:13:08
4
ingei29 :
uyu vipi Kwan mwanamke sio binadamu shenzi😂
2025-09-27 03:24:35
1
farida_outifts :
ndomn hata mm mwanaume wangu akifanya hivo nikijuwa simsamehi
2025-02-19 11:27:51
2
mpemba :
ata mm sikusamehe
2025-10-13 10:08:51
0
betray :
kwahy mwanaume ND asamehew
2025-09-30 07:10:14
0
Jim munyi 2 2 :
💯 true
2025-02-20 09:02:46
1
£_marry :
ata wanaume hatakiwi kusamehewa hakuna bahati mbaya watu wajitambue kila mtu ana akili timamu na anajua anachofanya kabisa sio shetani wala nn
2025-03-31 01:11:32
2
𝗙𝗮𝘆𝗯𝗶𝘁𝗲🍇🇦🇨 :
nyooo nyie mbona mnaitembeza kama ndara za maskini
2025-04-18 22:27:17
0
SV Fashion :
mbon nyie mkitucheat tunawasamee jmn 😂😂😂
2025-08-02 16:22:15
1
MAN G @❤ :
MBONA ME JAMAN SINA MOYO
2025-04-22 07:35:16
1
Wynnjones deuli :
samehe ila kurudiana naye apana namuacha
2025-04-14 22:44:34
0
Hawa Hatun🌹🍑🦋 :
lakini mwanamume yuwaruhusiwa kuchiti sindio 🤔🤔 wacheni mambo yenu nyinyi 🤔 mtuache
2025-05-13 04:06:32
0
mpemba :
na we nenda kacheet uctubie uone Allah kuwa atakusamehe
2025-10-13 10:10:37
1
Sailevo Pusindare :
Aya fanyeni lakini mssidishe sana bc
2026-04-05 07:29:19
0
cleasee Manager :
every time I think abt wat u did in that Friday
2026-05-06 11:51:50
0
Josephine Kileo :
ni kweli maana ata mm mpaka nichiti sikutakii tenaaaaa
2026-05-09 07:56:14
0
Farida Abdallah :
😁
2026-06-13 08:07:40
0
silvester kaisa :
👏👏👏
2025-10-01 07:00:15
0
Malaki kuney :
😳😳😳
2026-06-18 17:18:24
0
lilkwambosh99 :
😳
2025-12-27 00:08:48
0
Timothy Charles Lumbasi :
🥰
2026-03-26 14:29:32
0
Farida Abdallah :
🥰
2026-06-13 08:07:39
0
Farida Abdallah :
😂
2026-06-13 08:07:42
0
Jose nkonko :
💯
2025-08-20 19:08:46
0
solomonkaay :
👆
2025-03-14 13:32:41
0
To see more videos from user @mabenatv_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.