@eng_makelele: Kuweka namba mbili tofauti kwenye whatsapp moja.#engmakelele #madevuedits #swahilitech #techinswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

Eng Makelele
Eng Makelele
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 February 2025 19:04:37 GMT
147977
4786
105
293

Music

Download

Comments

user8810427454536
Feith :
mitano tena
2025-02-19 19:15:47
5
steven.rohan6
STEVEN BRK :
How about iPhone?
2025-02-19 21:04:30
2
addunaly00
Addunaly :
kaka kurudisha account ya tiktok ya zamani
2025-02-19 20:12:14
2
jenniferelizabeth688
Elizabeth Love ❤️ :
thanks so much bro
2025-02-28 01:05:36
2
saidohamadisadi
saido hamadi sadi👁 :
yangu haina alama ya kujumuisha
2025-02-19 19:16:12
3
eve.adams
Eve Adams :
kama uliweka na unataka kotoa na uweke nyingine
2025-02-28 05:11:17
3
daphia00
Daphia💕 :
Je uki add account nyengn namba nyengine iyo ya pili watu walio kwenye namba nyengine hawatajua km umeadd
2025-02-19 20:33:40
1
ally.balawa
Ally Balawa :
msaad jamn nisaidieni picha za magroup ya whtsp zinaend moja kwa moj gallery sasa naitaj nizuie ctk ziende gallery
2025-02-19 20:29:47
1
vickymathayo
💎💎mtu :
bro msaada kutoa namba ya zaman na kuweka mpya staki kuwa na namba mbili
2025-09-10 02:28:15
1
salha.ali12
Salha Ali :
inabid nikiweka iyo Ile ya mwanzo haitumiki tena
2025-08-03 16:51:35
1
mother.j.mj
mamu :
ongera🙏🙏
2025-02-20 16:22:48
1
grace.mwaka6
Eliza manu :
nakama unataka kuanga Lia number zako zote mfano Moja huijui
2025-02-20 08:11:19
2
user4308756578741
BLACK HENDSAM :
umetisha broo nakukubali👍
2025-02-20 20:49:16
3
paparazikedecosterian
Mc PapaRazzy💪 :
yangu haina iyo +ama ni Gb whatsApp G
2025-02-24 14:41:30
1
vidjeyimagufuli
Kavira :
Kwa iPhone ni vipi
2025-03-04 21:32:51
1
siti_abdul33
siti_yaqub❣️ :
KWa iPhone haikubali mbona
2025-02-21 02:39:17
1
abdulkarimsaidmajid95gm1
Abdulkarimsaidmajid161 :
sasa kaka kama natumia no. ya mpenz wangu je? whatsap yake. itakuwepo kama kawaida
2025-02-21 10:16:52
1
anthony57420
Anthony :
umenisaidia sana bro 😂😂
2025-02-21 20:11:56
1
tripplemsuya
Mr.Black mail :
Mbn kwenye iPhone haipo?
2025-02-27 13:39:41
1
bite.marenge
Bite Marenge :
hili limeisha 😂😂😂😂
2025-03-16 12:24:16
1
bigmami19
Bigmami19 :
Shida yake ni ati ukibadilisha inaambia watu tena wanakufuata upya.
2025-02-19 19:45:12
2
frankmwalongo3
isdory :
bro, iv kuna watu walikuwa bado hawajui kweli hyo duur mm nimeanza kutumia kitambo sana
2025-02-20 07:32:47
2
manyaraone.boyone
Manyaraone boyone :
bos mm SIM yangu Hina sapot foni moja yani ukizuga hinariya moja T2
2025-03-16 01:10:39
1
itsshaban07
It's_shaban :
brother sijajua nimechezea vpi WhatsApp yangu siku hizi view sizioni nikiweka status yangu
2025-02-24 20:42:22
1
To see more videos from user @eng_makelele, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About