@furahadigital: Mwalimu wa Mbweni Sekondari akionyesha uwezo wake mwingine Licha ya kufundisha darasani. Kipindi hiki cha Bakibencha kinapatikana kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 kamili kupitia Furaha FM 90.9 FM. With @nusura_actress @ngosha_alexmgeta & @ganslay_tz #furahafmupdates #HiziNiNyakatiZaFuraha