@_abdallah_dello: . . . . . .2. Ukiwa njiani kushuka/kuanguka, epuka kukata tamaa na kujilaumu kupita kiasi. Kumbuka, kama kuna kushuka basi kuna kupanda pia. Jifunze kutokana na makosa yako, tambua changamoto zako, na badili mbinu unazotumia kutafuta mafanikio.