@km.global: Ushuhuda mzito wa Moses kulola | #kijanamkristo #foryoupage #fyp #rwandatiktok #tanzania #creatorsearchinsights #moseskulola #bongotrending #trendingnow

Kijana Mkristo
Kijana Mkristo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 February 2025 19:54:54 GMT
438757
20527
394
1554

Music

Download

Comments

user5149441436115
user5149441436115 :
mchungaji huyu aliitwa na mungu mambo yote yanayotokea aliyatabili na ss yametimia
2025-02-22 09:07:24
294
naibu_201
naa :
kuna mim 3 kavu mtihan yesu nisaidie
2025-02-22 10:34:09
144
user76069346145888
lizy :
nilikua nasoma comment....siku zote ukiona unatajwa kwa sifa njema...hakuna anenae baya juu yako basii mshukuru sanaa Mungu endelea kumpendeza Mungu.
2025-02-23 12:14:56
30
bintiwayesu01
BintiWaYesu :
maombi ya mfungo yana nguvu sana wapendwa tusiache kufunga na kuomba kwa bidii
2025-02-23 18:39:37
50
user8430471628481
Deborah ally :
Mama yangu alikuwa anampenda sana huyu pastor..huwa nikimuona namkumbuka Mama yangu.nampenda sana Moses hakika MUNGU alimuita kuifanya kazi yake
2025-02-22 13:49:18
81
userevenlight1
EUNICE ZACHARIA 🌟 :
😭 RIP baba😭sjuw kwann sikuweza kukufaham kipind cha uhai wako😭 🙏
2025-02-22 08:54:12
37
jamani289
lee :
mamaangu alinambia nilichelewa kutembea sana mpaka miaka miwili siku akaenda kwa mkutano wa huyu ni hapo hapo nilianza kutembea🥰🥰
2025-02-23 13:46:19
80
theory.x7
Theory X :
Huyu mzee alikua akihubiri OMG kuna nguvu ya ajabu. Huyu alikua kweli mchungaji
2025-02-22 17:48:38
34
elishashigela
user6167015621912 :
huyu baba nampenda sana mungu mlaze mahali pema peponi🙏🙏🙏
2025-02-23 16:19:16
20
sigileonce931
Mungu Mkubwa :
Mimi Moja Kavu Nayo Mtihani Mungu Wangu Naomba Unisaidie Kwakweli
2025-02-22 15:35:15
35
jeniferkaiza7
Jenifer Kaiza :
huyu ndiye mchungaji wa kwanza kunifanya nikaokoa na kupenda mahubiri nikiwa darasa la tano alikuwa akija mkoani kwetu kufanya mkutano sikosi
2025-02-22 15:59:53
44
atupelemwakwijang
Godlove :
Watumishi wa Mungu walikuwepo na wapo,ila huyu alikuwa mpakwa mafuta wa bwana.
2025-02-23 16:34:34
18
evebahatiyaa
Eve Bahati Yaa :
Huyu mtumishi wa mungu alitumiwa sana na Mungu
2025-02-22 11:14:55
14
michaelamonoswald
michaelamonoswald :
baba waimani E,A,G(T) natoka umeondoka kanisa halipo Salama tutakukumbuka daima
2025-02-22 09:45:34
77
brightonntare
brightonntare :
Leo hata waislamu hawajatukana kwenye coment
2025-02-23 18:47:55
11
miriampatrick4
mtumishi miriam patrick639 :
haupo nasi lkn bado nakupenda mtumish wa Mungu,mm nina ushuhuda na huyu baba mtumishi wa Mungu,
2025-02-22 10:39:58
14
user444350220547
Furaha🦋🦋 :
kanisa langu EAGT yetu habar njema kwa watu wote
2025-02-22 17:00:51
19
usermarygoreth
usermarygoreth :
Mimi kila nikifunga napata majibu chap
2025-02-24 14:00:45
7
samwelisheppa
Samweli Sheppa :
kwa hali ya leo tunahitaji Mkuu wa nchi atakaeleta heshima kwa kristo,maana kwa sasa pameharibika pande zote kanisani. LAKINI MUNGU HAJATUACHA 🇹🇿
2025-02-22 15:29:55
11
giftedgirl71_tz
Nyakyusagirl71_tz🇹🇿 :
Shuuja wa yesu🙏🙏 pumzika kwa amani 💔💔😭😭
2025-02-22 09:14:21
8
directormwaki
KUHANI JOHN MWAKIBUJA :
Huyu ndio alishawishi wanyakyusa wengi kuchomoka kkkt na kujiunga na ulokole japo alikuwa anakuja mbeya mwezi wa 9 kila mwaka lakini uwepo wake ulidum
2025-02-23 20:09:57
11
bishopmakundi
BISHOP DR: ELIBARIKI MAKUNDI :
nilifunga mitatu kavu maombi yalijibiwa ..haraka sana
2025-02-24 16:12:04
5
amungah1
Aj :
christ is good to him be all the Glory
2025-02-22 14:09:31
12
sifaupendo18
user76750236265866 :
pole mutumishi wa mungu mungu aendeliye kua nawewe
2025-03-31 07:54:23
4
usernachijojo
nachi jojo :
jamn me leo tktok nakutana tu na mafundisho ya kulola
2025-05-02 13:03:43
3
To see more videos from user @km.global, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About