@marijanicatering: We're ready to take your swahili orders... Yaani, tuko tayari kuwaandalia mapochopocho 😀😋😋 #fyp #catering #nairobi #viral_video #breakingnews
Marijani Catering
Region: KE
Saturday 22 February 2025 13:18:51 GMT
Music
Download
Comments
Zainab Ahmed :
where are you
2025-02-24 06:13:06
2
Kenya lady 005 :
pin location huezi enjoy na mm nikila sukuma 😂😂😂
2025-02-24 21:15:01
4
mawia254 :
hamusemi location???
2025-02-24 17:13:31
4
Abuu Rogoo :
location
2025-03-02 12:49:58
0
Belozi :
asante
2025-03-03 17:49:09
0
BadeBunde :
location...Coca Cola baridi
2025-03-02 14:03:17
0
kenyanjokerthecom :
location
2025-02-28 15:35:34
0
aisha sharo :
kama hujameza mate wee ni malaya🤣🤣
2025-02-28 22:54:15
25
Jackline Renson :
watu wa nairobi watasema izo ni bajia na maharage🤣🤣🤣I come in peace
2025-02-25 11:24:07
22
Auntie Boss💃 :
ila hapo kwa pilau mmechemsha
2025-02-27 11:16:20
5
rehema 👑 :
Nitakonda kweli mm😂😂 mana nikiona hivi mate yadondoka
2025-02-24 14:44:43
8
Ibrahim yusuf Octopizzo :
kwenye pilau mapishi yako chini kiukweli
2025-02-25 09:54:19
5
Coast man001 :
apo sawa🥰🥰🥰
2025-03-04 10:47:43
2
AgateN💃 :
Mashallah!!!! Unatumia viuongo vipi kwa pilau?
2025-03-03 11:43:19
1
shaddie😎😎😎 :
dah
2025-03-04 11:01:10
0
kuleish :
Tumefunga acheni kutueka njaa
2025-03-04 10:54:08
0
Akida said :
mashalla 🙏💃💃💃
2025-03-04 06:23:52
0
African princess 001 :
mbaazi z nazi penda Sana my favourite ❤️🥰
2025-03-03 08:50:28
0
james :
mm nifunze kupika pilipili tu😂😂
2025-02-26 12:52:26
1
user6901662320491 hulk :
mumeona wa pwni wana juakupika nyinyi tukija huko kwnu mnatupikia mahmri yko na pembe sita chapati ngumu halafu haziko laini ona mapochopocho
2025-02-27 00:16:28
1
eve🥰💫💥 :
mko sure hii mchanyanyiko sio ya kulipua ruto state house😭😭
2025-03-01 15:13:14
1
Mbunga❤ :
hii wimbo nimeizoea kwa chesoni😂
2025-02-26 12:30:04
1
Beyoncebaby05 :
Pilau mashendeha😂😂😂 ila mmeweza mashallah 🤗😋
2025-02-28 14:02:11
1
bidy :
mashaallah 🥰
2025-02-27 17:06:28
1
Esha Mzee :
ramadhan iyo
2025-02-27 07:25:45
1
To see more videos from user @marijanicatering, please go to the Tikwm
homepage.