huku kwetu muda wa kapu la mama utacheka😂😂ni miko tu inapepea huko juuu
2025-02-25 14:44:15
9
Rodah🌹☑️ :
wengne wameshika vitu vya ajabu unaweza uzabe vbao😂
2025-04-07 16:09:39
1
Nezia Nzotha :
nakupenda mama napenda wamama wote
2025-02-23 15:33:12
7
Asimwe Gasto :
😭😭sina mama nani atanifanyia kapu??😂😂
2025-03-26 14:46:22
1
oliphina :
jmn kuuliza sio ujinga hivi hayo mabegi huwa zmejaa nguo au ni begi kama begi
2025-02-24 16:25:55
3
Annajoyce :
akuna mwingine zaidi ya mama
2025-03-22 07:38:33
1
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
@ceama:Amina Sana mtuombee na Sisi tuwe baraka mwaka huu🙏
2025-03-05 09:38:45
1
mc maisha mazuri :
Hongera Sana mc madam sabina
2025-03-18 11:23:04
2
MC JACKLINE❤️ :
Mc wangu 🥰🥰
2025-02-25 08:46:21
1
Pdx20 :
Hivi hayo masanduku yanajaa yote nguo au mchanganyiko mashuka vitenge kanga mataulo nk au inakuwaje tusio na uzoef na mpaka yajae matatu yanakuwa na nini na nini
2025-05-06 18:53:30
0
tiffah 87 :
Hili hall ndio tulifanyia harusinya Amali sonko na Azizi ki
2025-02-25 12:31:30
0
Pdx20 :
Mana kwingine tunaona vyombo vinakuwepo pemben au ni binti anataja anavyotaka vitu na vingine unaongezea kama zawad zako mama
2025-05-06 18:55:58
0
Rodah🌹☑️ :
sawa😁
2025-04-13 15:12:36
0
shammie :
@Zainab Msami 😂😂enhee kma hujajiandaa na kapu siolewi mitano tenaa🤣🤣
2025-03-28 17:31:29
1
madeline koku :
😭😭😭
2025-07-17 18:26:44
0
officially💞💕vinnaya :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-03-24 09:17:48
0
mahengeester :
🔥🔥🔥🔥
2025-02-23 16:53:50
1
Whitney_dessert :
💕💕💕
2025-03-17 20:53:38
0
noor :
😂
2025-04-14 05:45:32
0
Tonnida :
🥰
2025-09-10 11:39:17
0
ANIFA MSWATA :
🥰
2025-03-25 14:24:35
0
Mima Shabby :
😁
2025-04-18 21:06:42
0
shamsya baby :
🥰
2025-11-10 21:09:06
0
Iddah Fashion Point🧕 :
@nyenyeri
2026-01-06 19:17:38
0
Nersie202 :
💖💖
2025-02-25 13:04:32
0
To see more videos from user @madamsabinamc, please go to the Tikwm
homepage.