@mcmboneke_comedian: Why Always me😭

Mc Mboneke
Mc Mboneke
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 February 2025 12:24:18 GMT
1032440
59507
1079
1176

Music

Download

Comments

stonerdeep
Wingle_quality furniture :
naona uzuni wamekunyima tuzo na waliopata hawakuwezi Kwa comedy
2025-02-23 12:50:02
563
kasianiibrahimu
nisterm classic :
Hatimaye mboneke kashuti singida 😁😁😁😁 wanasingida tujuane kwanza
2025-02-23 12:49:46
210
flozzyflozzy4
flozzyflozzy :
kama unapenda video za huyo jamaa ......dinya like
2025-02-23 13:14:57
91
kigalo.ian
Kigalo Ian :
'Ni wewe umechagua bossy!!!'
2025-02-23 12:43:37
22
masalushijakiduha
MASALU SHIJA🐄🛖 :
inauma sana huyuu jmaa kumyima tuzoo yanii 😭😭😭
2025-02-23 16:53:36
57
mamen.raby
mamen Raby :
kama wamkubali mboneke kusa like ♥️♥️
2025-02-24 10:36:29
18
phonceal1
shija alphonce nestory :
ety huyu mchawi 🤣🤣🤣
2025-02-23 12:30:46
33
wekesafavour
Ni Fav ke🧚‍♀️🥰💫💫 :
wakwanza huku leo mnipe likes zangu🥰🥰🥰
2025-02-23 12:27:28
14
camaviga4440
cluxion 4440 :
nilicho gundua hizi tuzo wana toa kwa kuangalia jina kwa watu wakubwa na sio commedy how comes wamwache mboneke
2025-02-23 18:21:51
18
king.biddy
king biddy :
tuzo wametengeneza wenyewe na wanapeana wenyewe huwez mnyima tuzo hata moja mboneke
2025-02-23 21:32:59
15
user368405287498
tinne9 :
ni commedy but ni maisha halisi ya wafanya biashara🤣🤣🤣
2025-02-24 05:30:33
14
user252427951986
Aman Wakitaa :
😂😂😂eti uyo mchawi🤣🤣🤣
2025-02-23 13:19:58
12
abdulmatao
Abdul JR :
ati huyu mchawi☺️☺️🤣
2025-02-23 13:50:21
5
abeidabdallah3
baba irfan :
kama unamkubali mboneke like hapa
2025-02-26 12:06:43
6
kevinhobaracka1
kevinho baraka :
why always me 🤣😂😂🤣🤣🤣🤣 kama unamkubali mboneke like kama zote.
2025-02-23 13:35:11
5
yustini.nziku
Jastini Nziku :
wejamaa msumbufu🤣🤣
2025-02-23 16:02:36
7
bobgysalim
BOBGY🌟 :
naona kama mbeya
2025-02-23 17:12:53
8
essie.cosmetics0
Essie cosmetics 💅 :
😂😂😂😂😂etiii huyu mchawiii😂😂😂nimecheka kifalaaa
2025-02-23 13:45:32
6
feskips
feskips :
kumbe hii ukora haiko kenyaa pekee😂
2025-02-23 13:05:44
6
msemwamsemwa51
old music :
Ni nacho mkubali mbonek anaigiza video za heshima na bado yuko vizul
2025-02-23 13:27:36
5
freddie_2110
FREDDIE_TZ :
wanao amini huyu ni chizi kweli like hapa😅
2025-02-23 12:29:53
14
ngoto.th.king
ngoto th king :
tukubali tuuu kila sehemu connection, huyu sio wa kukosa tuzo ata moja sio kweliiii huyu jamaaa lazima uchekeee.
2025-02-24 06:25:03
6
user11shupa
Emanuery shupa1& :
niwewe ume chagua bos
2025-02-23 12:35:50
13
special_boy_og
special_boy_og 🤴 :
najuwa kama sim yako ipo chaji😂
2025-02-23 13:06:45
13
ingei29
ingei29 :
naskia mboneke ni mtoto wa mama mawigi, sasa sijui ni ukweli au
2025-02-23 14:38:57
9
To see more videos from user @mcmboneke_comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About