@emma_legrand_pioneer: ‼️Mwanamke akiamua kuwa ndoa yake haivunjiki, haivunjiki‼️~Pastor Rose speaks! Says a wise woman will always build her marriage. Only a foolish one will destroy it. #love_marriage_and_family

Emmanuel Angachi
Emmanuel Angachi
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 23 February 2025 16:44:37 GMT
645537
16150
256
8324

Music

Download

Comments

user5348165979021
Gacheri :
kwa ndoa mama asipojifanya fala haiwezi work
2025-02-24 08:38:22
21
emmanuelsudi797gmail0
The EYES OF GOD :
nilikuwa na mpumbavu for 5 years . what she did to me i will never forget Mungu anilinde na watoto
2025-02-25 02:54:26
6
user6293819009713
Jackson :
I love your preaching
2025-02-24 07:31:51
3
codesculputer
PHINACIUS WAFULA SIMIYU :
tell them
2025-02-23 22:04:49
2
user2516800000930
🥰🤣 :
very true
2025-02-23 19:33:28
2
boscokuanga
Bosco Kuanga :
na vipi wanawake wanaoondoka na kwenda kisha badae wanataka kurudi na wao ndio wkosaji?
2025-02-24 08:49:48
3
seniormnm0
Mr Mwinzi senior :
wanaume kujeni apa tumshukuru huyu dada
2025-02-24 04:17:22
10
user1132332532lydia
lyzwepson :
utapigwa ukijenga nyumba utolorate ulevi na umalaya kwa kujenga nyumba
2025-03-01 14:59:09
0
elizabeth.nafuna4
Esy lizz :
Its true pastor 👍
2025-04-04 11:14:27
1
martinezmartins49
Martinez Martins :
hapo dadaa nisawa kbsa🤣🤣😁
2025-02-23 19:02:29
5
chimamy.bahat
chimamy bahat :
kuuliza tu haya ni mahubiri ya injili am nimahubiri y ndoa
2025-03-21 00:26:15
0
awinja031
unshakable 123. Rosalia@ :
True!🥰.. hadi dad aliaga, mom akachochwa na many men😅. wamuoe"- ndo wanyakue mali yetu.. lakini wapiiii!😳.. mom alijipea time akafikiriaaaaaaa😋.. alafu sasa hivi",- tunaenjoy juu yake😃🥳
2025-03-01 09:15:03
4
brianfreeman247
mulinge🌟 :
mimi nliumizwa sana 😭😭 ata sae nikona mwaka na cjawai pona kupenda mtu kube yeye hakupedi ni kifo ata umfanyie nini atakuumiza
2025-03-02 09:27:37
2
isaac.luvita
unbeatable wonder :
nilikua na mpumbavu mwingine sai alitoka akaacha watoi ati anaenda kutafta pesa mingi🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-18 15:05:47
1
angoj24
Ango.J :
ujumbe tosha.watajifanya hawaskia ama watakuchukia
2025-03-20 12:12:13
1
samwel.masanja8
Samwel Masanja :
sana
2025-02-28 07:32:52
1
user3970461784222
Patoo :
hio ni kweli mhubiri, kwanza mungu akubari,kwel mama lazima awe mvumilivu na mtiifu kwa mumewe na pia atosheke kwa chochote. bwana anachompa
2025-05-08 10:30:38
1
mamakare02
Blessing Nyawira💕💕 :
mm niliona kuliko nijinyonge na watoto wangu juu by the name of marriage ,wacha niachane na hiyo ndoa
2025-06-26 15:19:55
1
samwel.masanja8
Samwel Masanja :
ongea kabisa
2025-02-28 07:32:14
1
dominicngao
DOMMY :
huyo mama Ako sawa
2025-02-26 11:58:18
1
kindnesses037
0037أستير :
yes,ameen and Ameen 🙏🙏🙏🙏
2025-02-24 20:02:49
2
onesmusmulinge568
Onesmus Mulinge :
niukweli sister 👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
2025-02-23 22:46:07
1
danielgichuki369
danielgichuki369 :
kweli kabisa pastor napeda kuskiza neno la bwana ukihubili.
2025-02-24 05:24:51
1
calistuswekesa867
Calistus Wekesa :
Be blessed u servant of almighty lord
2025-02-26 12:44:29
1
oirigawilfredonde
oirigawilfred ondeo :
ukweli kabsaa pasty
2025-02-24 02:50:54
1
To see more videos from user @emma_legrand_pioneer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About