Tena akiolewa atawafundisha wengi uvulivu,kutulia na mwanaume mmoja na si kuangaika na wanaume Kila rangi mpaka ukija kutulia umeshalegea...wa muache kwan naseb ndugu yao
2025-02-24 15:49:41
6
emmarence :
Hapana. Zuu will get a loving and God fearing man to settle down with.
2025-02-24 17:07:00
5
monte :
una mawazo gani kinganga
2025-02-24 15:31:09
2
ashahamad667 :
unatakiwa hawa uwafanyie shindi ya kipemba ucijali mazali yako yanaenda.mama usiwe rahisi msamaha pesa.
2025-02-24 15:10:20
2
Xwaum Ramadhan :
mm ndo shabiki wako namba Moja sema mm sio staa ila nakupenda kinoma
2025-02-24 16:28:40
1
Tendo Doreen 256 :
the original one
2025-02-24 14:11:12
1
preciousmuyukatete0 :
kanataka marriage certificate ndio atawaleeee
2025-02-24 16:57:06
1
Rahuss :
we chezewa ukimlizwa ukwende
2025-02-24 22:03:36
1
iambry_milips 🇨🇦🇹🇿 :
😅😅😅 tuacheni kwan matukio tunapigwa sisi, sianalia yeye, tena akiolewa atakuwa kingora ata vunja mpak nyumba Co kwa redflag zile, ss macho ye2, awe asiwe ss wapenz watazamaj tu Sema 2naona huruma 2
2025-02-24 14:53:33
1
user6224804886901 :
Huyu mtoto Mungu amempa sauti ya wanawake wa India, MaashaAllah ❤️❤️❤️❤️🥰
2025-02-24 16:18:44
1
safi makambo :
we ukoki nganga
2025-02-25 12:48:34
0
paschalmakongolo :
safi uncle
2025-02-25 11:46:31
0
Maryam hatun :
kiatu chako sikivai walahi
2025-02-25 12:02:34
0
Vsquare😎 :
hatutaki🤣
2025-02-25 20:45:14
0
annastaziaanderso :
ila mekap zinawaweka sanna mjini
2025-02-24 14:40:55
0
Beatha Sarapion :
Safi sana zuchu. wakomeshe. wewe ndio. tunakutambua. nakupenda sana
2025-02-24 16:45:12
0
user9422123125471 :
ona anaongea mwenyewe baadae anasema anasemwa
2025-02-24 15:55:24
0
user9844070041054 :
zuchu mwanamke mtafutaji mtoto mdogo tu anaaseti za kutosha hawamuwezi wivu unawasumbua
2025-02-24 19:34:05
0
Naseeb Ally :
zuchu wetu pambana wenye wivu wajinyonge😇😇😇😇😇😇roho mbaya zitawaua waja
2025-02-24 21:30:32
0
user5457459079460 :
tumia na wewe zikuwe mjini mbwa wewe
2025-02-25 13:16:11
0
maimunaathman5 :
Wivu tu ndio mlio nao, ngumu kumeza
2025-02-24 15:59:52
0
AishaKawisa :
tuna taka sana sana
2025-02-26 04:51:29
0
Ragrugha Rukss :
santi🥰🥰🥰🥰
2025-02-24 16:33:05
0
user9844070041054 :
diamond kachoshwa nawanake wa kulipiwa Kodi,anataka km huyu anayeingiza pesa kila muda
2025-02-24 19:32:41
0
Issa Husna :
mbona amna tabasamu why wee mrs
2025-02-24 15:10:25
0
To see more videos from user @janaina_brown, please go to the Tikwm
homepage.