hapo wangekua upinzani washatumwa polisi kuwatawanya
2025-04-23 15:11:58
0
Emmanuel Peter NChanga :
Bukombe yetu safi
2025-04-17 07:52:08
0
SYLVESTER NELSON :
pamoja san
2025-04-07 17:07:08
0
jitu lakale boy master :
chadema wakifanya Ivo polis pembeni da ili Limama ili
2025-04-13 16:58:34
0
Asha💊 :
Wow nawapenda Sanaa😘
2025-04-24 19:59:40
0
Nsangila II 🌟🏆 :
mmetisha saana, pamoja saana makamanda
2025-04-07 17:42:57
0
user959758617907 :
jamanieeee mmenogaaa🥰🥰🥰
2025-02-26 13:55:33
0
peki :
ujinga huleta umaskini na umaskini huongeza ujinga, ni mzunguko usio na mwisho, hawa wako tayar kuuvunja mwembe ili wapate embe moja liliova
2025-04-07 06:17:16
0
SYLVESTER NELSON :
noma sana vijana
2025-04-07 17:06:45
0
rubendias224 :
kijiunga na hii timu unatakiwa uwe na nini jmn ( vigezo)
2025-02-26 15:37:27
6
lameckelias995 :
mmetisha sana wanangu
2025-04-03 19:43:59
0
GOOGLE PASTE :
hakuna kupoa🤣
2025-04-05 13:58:20
0
cute heleyna :
tamu hiyo hatar
2025-04-03 19:49:30
0
MAKAVELI_SOUND_ENGINEERING :
Mafisadi wakubwa warafi wa Madaraka CCM. hiki kizazi ndio kitakacho lipa machungu yote ya wazazi wao wa CCM ambao wametumbua Nchi yetu. kisasi ni haki, siku ya Revolution itakuw ni huzuni kwenu.
2025-05-23 08:04:42
0
munirshivansh :
alaf anatokea kiongoz anakwmbia vijan mstumike ki siasa kwaio awa mashabik wa timu
2025-04-05 19:43:56
0
Joel Tweve :
Vijana walio kosa kazi ndio hawa
2025-03-13 10:26:40
0
To see more videos from user @2026kingsultan, please go to the Tikwm
homepage.