@254mayor: Sisi Watu wa Likoni twatoa Wapi Laki 3, ama tupunguzieni Bei basi🤣🤣🤣 #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers #nairobitiktokers

Her-Son-Zuma🇰🇪🇿🇦📻
Her-Son-Zuma🇰🇪🇿🇦📻
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 February 2025 07:38:35 GMT
17066
752
89
299

Music

Download

Comments

baddest9665
baddest :
speak 4 ua self plz likoni kuna wazito
2025-02-26 10:11:46
1
saumganadza
saumganadza :
weee bro niko nayo mm☺️😅😅
2025-02-26 11:44:25
0
mimi.njunge
Wambui :
my thoughts exactly 😂😂😂😂 tutatoa wapi
2025-02-26 05:49:10
7
mishy.shabz
Mishy Shabz :
😂😂😂😂wanchekesha wallhy
2025-02-25 19:43:04
0
enviromentalistsuzzy
doctornature :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 BTW 🤣🤣🤣
2025-02-26 10:05:31
0
audil7172
Dr. JOMOLO🙏🎓🩺💰🏘️🚘✈️? :
😂😂😂Ferry yenyewe walituona hatuezi... Wakafanya bure... Laki 3 tutatoa wap😂😂😂
2025-02-26 06:01:03
9
sule_mhenga
MHENGA-01💎 :
hiyo banner wanipe Mimi nifanye kama dari chumbani kwangu 😂😂😂
2025-02-25 07:44:46
26
seif_seif.01
SEIF SEIF :
nilishangaa kweli, the marketing team failed hapo, atleast wangeeka upande wa magari kule😂
2025-02-25 20:02:51
6
prince_g25
Prince Isaac :
😂😂😂😂😂hii kampuni Iko na utani sanaa
2025-02-25 10:29:43
7
cleorhythm1
Cleo Rhythm :
hio ni ya watu wa diani na ukunda
2025-02-26 06:14:48
2
jennysarah683
❤️NIFFER🦋 :
😂😂😂😂😂Mimi naezanunua wewe
2025-02-26 06:50:11
0
block1919
50-BMG :
nimesubiria hii post ali😂😂
2025-02-26 05:35:14
0
ninasorai
pendezanaboke :
Kuna watu wa Diani hupita huko🤣🤣🤣
2025-02-26 05:16:47
0
amas_boss_05
amasBoss :
wajuwa nacheka kwanini 😂😂
2025-02-25 12:13:03
2
judylove28
Judy Love668 :
wananunua ww kama hunà ni ww bibi ya bonge anayo mbona na yuko likoni wako nazo wengi tu ninao wajua chill bro hitufanani
2025-02-26 04:31:15
0
cliffordpollycarp
Clifford polycarp :
oya huyo Mzee hapo anaongea na kabambe ndio mteja mtarajiwa😂😂😂
2025-02-26 06:43:07
0
jamal97986
jamal :
🤣🤣🤣yafaa mkilo hiyo
2025-02-25 09:11:13
3
adhrasheedahmeedy
adhrasheedahmeedy :
mgoote 🤣🤣beka boi
2025-02-25 08:02:57
3
m_.lunur
🦋✨ :
😂😂😅😂ndio mufanye bidiii musione ni ghali😂😅niliona mimi pia nikacheka
2025-02-26 03:21:45
0
klarksmit
Klark Kent :
wenye magari vip mayb
2025-02-26 02:25:34
0
kakamtemi
mtemi :
laki tatu ni nunua simu alafu wani poree hapo ferry..heri ni pige dabali langu daily 🤣🤣🤣🤣
2025-02-25 22:30:42
1
ibra09685
Ibra :
ploti yenyewe haifiki hio bei likoni
2025-02-25 20:03:10
1
wahinga_48047
Zabaletta :
Na mimi mwenyewe naishi kwa nyumba ya 2000 pale Shelly beach 😳😳
2025-02-26 12:12:58
0
ne.randomguy
Random guy. :
Hio bei si iko juu sana...Bei ya hio simu haifiki ata laki mbili na Nusu
2025-02-26 11:40:47
0
vervain254
AL-KALINE :
Nyeti zitaumia sana mkoa huo aisee. Vijana tutafta hela sasa OIL MONEY CHRONICLES 😂😂😂
2025-02-26 11:24:02
0
To see more videos from user @254mayor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About