@old_gospel6:

THE LIVING GOSPEL CHOIR🎶🎵
THE LIVING GOSPEL CHOIR🎶🎵
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 February 2025 16:56:59 GMT
250084
16075
636
800

Music

Download

Comments

silasdavid608
[email protected] :
Sasa hivi hakuna waibaji kama hawa nikereretu zirizopo sasahivi
2025-02-26 19:18:45
45
samwelidaniel33
samwelidaniel290 :
huyu dada alinifanya nikaoa mwanamke mwenye sura kama yake na wembamba kama wake, kutok mara msoma
2025-02-27 10:22:55
35
aloycejosephaloyce
Aloyce Joseph Aloyce :
hawa ndo wailiinua gospel ya Tanzania achana na sasahv ni show sio nyimbo tena +aci shinyanga+kambalage+mwadui+buzuruga na wengine wengi hatar sana
2025-02-27 16:24:54
44
linda.kahombi
linda kahombi :
l love this songs tag me next
2025-02-27 04:25:54
5
www.lee.co.ke
Lee :
Bahati Mishaki doing her thing... the love ibhave for this woman is crazy
2025-02-27 05:18:11
24
mom.jocelyn
mom Jocelyn 🧑‍⚕️❤️ :
solo alikuwa mjamzito
2025-02-28 21:02:15
2
josephkafumu655
Joseph Kafumu :
Hizi ndo mashine za cvc nihatari moto wa kuotea mbali bana daaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2025-02-26 17:45:51
32
nathan.p.sulley
Nathan P Sulley :
sololist uyo anajua,maua yake
2025-02-26 17:18:29
22
emmanuel.samwel395
Emmanuel Samwel :
hizi nyimbo zilikuwa 🔥 fire saana
2025-02-27 08:17:28
6
davismayanja2
davismayanja687 :
nyimbo za Aic chang'ombe huwa zinanibariki sana, hakika kazi ya Mungu huwa wanaifanya kwa moyo.
2025-05-22 07:08:14
1
winnienanyaro3
s.e.c.o.n.d.b.o.r.n🦋 :
enzi hzoo😂ata tv hatutak kuzima ili tuangalie tu hii kwaya
2025-02-28 17:17:56
8
solomontemp
solomon temp 124 :
raha ya ukristo uwe mwana kwaya😄 weeeee
2025-02-28 15:10:05
6
sally.lovers1
sally lovers :
mimi ni msabato ila nyimbo za Hawa watu nazipenda mno hasa hizi za zamani
2025-03-03 18:36:35
5
user1096924312136
Srob :
Huyu mama ni zaidi ya mwimbaji.Nampenda sana 🥰
2025-03-02 12:48:49
5
mrswillybrowner
husna poley :
vijijini bado wanaenzi hizi kwaya asee very nice🤗🥰
2025-02-27 07:10:02
5
limymasele
Alicea :
ila ka sololist kana sauti yakubembeleza sana roho mtakatifu shuka 🥰🥰🥰
2025-03-03 11:16:53
4
usevarlinedavide254
Evaline ghat David 254 :
nawakubali
2025-03-04 19:12:18
3
user252720e
Ishiq 🥰😘 :
Mpigieni Mungu kelele za shangwe🎉🎉🎉🎉🎉🙏❤️🙏
2025-05-22 07:51:06
1
daniel.samsoni
Daniel Samsoni :
amen
2025-03-02 05:45:48
2
user3320739551127
🌺Quinee leilati🦋 :
nampenda huyu mama jaman
2025-03-21 20:07:13
3
user6343794626216
amina chares mtuli :
Mungu awabariki sana
2025-04-05 19:08:30
3
bennygospel4
Benny Tallent✅ :
ila mm huyu nampenda sana hii sauti nibalaa sanaa🙏🙏🙏
2025-03-01 08:16:32
3
elia.nyondo2
Ely rich. :
siku nimetoka discototo saa12 jion natoka nje ya get nakuta wimbo huu unapigwa libraly daah ulipitiliza moyoni shwaaaa,kesho mafunzo ya kipaimara yakaanza
2025-03-03 02:28:28
3
suzy.joseph0
Suzy Joseph :
Da nimekumbuka zamani saana r.i.p Ma mkubwa Heren alikia akipenda sana hii kwaya
2025-03-02 16:49:16
3
majingeii0
veracity :
Huyu dada ni hatari hata ulivyokua shule msingi alikua hatari kwa kuimba👍
2025-03-02 07:12:33
3
To see more videos from user @old_gospel6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About