@mwanza.view: 📍MWANZA MKUYUNI 📍MWANZA MSWAHIL 📍MWANZA CHAKECHAKE . . . #MzururajiMwenyePixelOgy . . . . #goodvibes #photography #portraitpage #photo #positivevibes #pursuitofportraits #Love #LoveIsLove #lookdodia #Lifestyle #lovequotes #dogoftheday #daressalaam #dankmemes #digitalart #lookdodia #happybirthday #healthyfood #hairstyles #hairstyle #harmonize #diamondplatnumz #gainwithxtiandela #gainwithcar #gainwithpaula #gainwiththeepluto #gainwithbundi #gainwithmtaaraw #gainwithmugweru #diamondplatnumz #harmonize #rayvanny #mbosso #zuchu #wasafitv #clouds #alikiba

MWANZA VIEW 🏞🌏
MWANZA VIEW 🏞🌏
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 February 2025 20:46:56 GMT
133657
3478
235
62

Music

Download

Comments

debycute76
Me 🫶🥰 :
na Dodoma wasukuma ndio tunaijenga wagogo wapo dar posta wanaomba huko 😂😂
2025-02-27 15:02:24
8
tunuan5
Tunu5 :
weee sasa ma agent wa mabasi tutaishije jamon😂😂😂
2025-03-01 14:07:29
4
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Raha ya Dodoma mtakuja tu kama Dar kutafuta kazi... Njoon mkutane na sis watu wa System
2025-02-28 04:45:27
1
kinyixspekii
Kinyix spekii :
nyegezi
2025-03-02 15:52:39
1
ausonaudax133
Auson Audax :
mnalinga na nguzo, wakati izo uku Dodoma zipo kama izo tunajengewa makorongo 🤣🤣
2025-02-28 04:33:51
1
officialmirry15
Official@Mirry❤️ :
Imeishia hewani hiyo ya mwanza usifananishe na dodoma wewe
2025-02-28 07:53:44
1
shabanibayasabe
Shabani Bayasabe :
daa had nimekumbuka kwet mwanza jaman hapo mswahil
2025-02-27 18:21:26
1
swahum.kareem6
Swahum Kareem :
kukamilika siyo leo mnaweza kuletewa Kila kitu kwenye Huu uchaguzi ukipita haman kitu mpaka uchaguzi mwingine
2025-02-28 08:01:14
1
wachujanafaka8
johnesleonard305 :
ujenz haujaisha2
2025-03-02 15:28:07
1
yuzzohdmgb.family
🔝YUZZOH❔EXCV🦺 :
vita bado mbich me nimezaliwa Dodoma , mwanza shinyanga simiyu geit kote nmetembea jamn , ata hii mikoa iungane bado awaifiiikii kabsa dodoma kabisa kwa mizunguko
2025-02-28 09:54:52
1
baby_sally17
Sally🐬 :
tukae mwanza kwan sis samaki😂
2025-03-14 18:03:43
2
ysn.dee
YSN DEE :
duh wanatamba nanguzo sgr
2025-02-27 11:36:56
1
muniir5754
Muniir :
Sio Leo subirini kwanza tuzibikiri sisi
2025-02-27 17:10:24
1
ibnmataba.mwanza
Chalii ya Mwanza :
Mwisho wa reli ni Kigoma jamani😂😂😂ila mwisho wa SGR ni hapa Rock City ila itapitia na gengeni(DOM) ili watu wafike Mwanza wakiwa wameshiba😂😂😂😂😂
2025-05-11 14:07:34
1
lah_katuju
lah_katuju :
MAGUFULI angekuwa tayari ishaanza kazi sasa hivi
2025-02-28 06:32:07
1
smasherz
smasherz closet👗🩱🧥 :
😂😂😂😂
2025-03-07 11:13:08
1
muuzaviatuvyakike1
muuzaviatuvyakike1 :
Muuza viatu vya kike mwanza
2025-03-01 06:32:12
1
babap224
bruno..😎😎 :
weeee utumbo gan huo
2025-03-04 05:29:32
1
pherity_
Ferity_🌴 :
Dodoma next levo brouh 😂
2025-02-27 19:26:45
1
dodoma_view
Dodoma_view :
😂😂😂😂War accepted🔥
2025-02-26 20:59:13
49
chiefmilambo0
chiefmilambo429 :
Hiyo SGR ya mwanza kuja kukamilika ni baada ya miaka 10 mbele huko maana mwenye sgr zake hayupo tena
2025-02-27 06:33:05
45
sadalove88
Sada32 :
Yaani ikisharuhusiwa kuja mwanza asubuhi ntakuwa kazini dodoma jion narudi zangu nyumbani mwanza kula chakula cha om na kuoga maji mazur nishapalala 😂😂
2025-02-27 09:19:12
17
cretus51
cretus 51 :
🤣🤣🤣🤣 nyie itafika SGR used
2025-02-27 08:33:03
11
georgegiga373
George Giga :
Alafu siku zote kituo cha mwisho ndio jiji kubwa dodoma treni inapita tu mwanza ndo kama Dar, Dodoma wangekuwa na ziwa au kivutio chochote tungekoma🤣
2025-02-27 12:40:37
8
vibe.scott
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
ila uku songea wana tuona kama matako yao siyo SGR amna ata soko ra kueleka kisa matakoni mwa nchi afu kula kuomba kila day🥺🥺
2025-02-27 14:36:49
3
yusuph_decor
YUSUPH :
Mwanzaaaaaaaaaa are ready 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-27 09:42:01
3
official_faymaya
brownfae🤎🩵🧸 :
vumbi la hapa sasa😁
2025-03-14 02:26:21
2
baraka.mgogo3
baraka mgogo :
Haya ni marudio kwetu sisi kitambo sana kwahy hata hamtushitui 😂😂
2025-02-27 17:17:59
2
user3301187312747
Emiliana Zonzoli :
nimekumbuka sana nyumbani ❤️
2025-02-27 18:16:15
2
user3904918403721
dalton :
Mradi umesimama sasa
2025-02-27 21:18:58
2
user8521195613020
myco :
ulimbukeni huo sgr alfu huko inge kua jiji kubwa kuliko dom inge fika uko ila hakuna faida yakufika uko wanang wa dom twn nawakubali san hawana uxhamb
2025-02-28 07:53:41
2
suwedinamga
Bugah Store :
mtajengewa vyote lkn dodoma hamta kaa kuifika 🤣😂 sasa jengeni na bunge washamba nyie
2025-03-27 08:08:59
2
user1355983098257
user1355983098257 :
kufika sio shida shida mpka ije iishe
2025-02-27 09:21:36
2
mrishokazi
mussambeho6 :
vp lakn imekaa san bila ujenz kwendelea
2025-02-27 05:20:58
2
kasanzumasunga
Kasanzu Masunga :
Mama atabaki kwenye Historia ya nchi hii milele. Mungu amjaalie afya njema. Asante sana Mama Samia
2025-02-28 17:53:49
2
dr.mizimu
marzooq :
sisi hatuwe kichukua watachukia wale wenye allys na katarama na ndo wanaoomba kila siku isikamilike
2025-02-27 07:15:31
2
msuyatz96
Msuyatz96 :
KUMBE NA NYIE MNANDOTO IO😂💔
2025-03-01 08:47:50
2
officialdalalikigamboni
d.timing :
nyie watu vip tanzania yetu sote hayo mamb ya kujikuta kama watu flan hivi yani kama dont touch ni ushamba t achani, sapotini maendeleo kwa tanzania nzima
2025-02-28 20:57:36
1
class.monitor84
️Class_____Monitor :
Hii vita tunaibeba vizuri sana😂
2025-04-24 12:59:47
1
_kizzie01
_Kizzie🤑🤑 :
Ya Mwanza na Dar ndo sehemu pekee wenye flyover za SGR
2025-02-28 22:24:36
1
shaban.hasan2
Shaban Hasan :
hapo penyewe ntakuja maana nshapamiss rock city
2025-03-11 18:07:22
1
champion.united86
mqn u :
daah voip hy duuh so poah kitamb
2025-03-11 10:58:30
1
lightgee17
Lightgee 🌸 :
😂😂 vita baridi
2025-03-11 00:12:58
1
cethy2026
mrs. money💰💰💰❤❤ :
😄😄😄🤣
2025-03-10 11:59:19
1
chomolaneema
neema chomola :
huu utani wa wagogo na wasukuma😂😂😂😂
2025-03-01 04:53:19
1
salomejohn91
Mrs Someone 💜📌 :
Jamani chake chake😳😳😳
2025-03-10 09:16:12
1
burma.kid
@burma kid :
pitisha tren ss 😂😂 km mmemaliza
2025-03-09 05:00:10
1
itsmkakamzuri
@ItsMkakaMzuri :
nikutumie na clip ya usiku tena tren ikiwa inapita nimetoka hapo muda huu sema ni short clip
2025-03-07 19:58:08
1
ototek2
ototek625 :
vinyumba vya mwanza vimechoka
2025-03-04 10:44:08
1
posher_cosmetics_dodoma
posher_cosmetics_dodoma :
mbn hakuna cha maana hapo😂😂😂
2025-03-03 13:02:48
1
kunguru562
Solo👑👑 :
kulia vipi tena. wakati tunataka kuanza kuja kuchukua samaki wa mboga za mchana😂😂😂😂
2025-03-01 08:45:04
1
michael.kisira
Michael Kisira :
2030
2025-03-02 10:13:50
1
user3728477409248
jammy🥰🦋 :
ndo kwetu xa kwanini tusilinge ety
2025-03-20 18:47:20
1
sayibobo
sayibobo :
kaka napenda ufanye na mecco
2025-02-26 20:49:57
1
naziru.suleiman5
Naziru :
2025-04-24 08:02:31
1
user2446363108285
Thanks mirambo :
inashindwaj kfika wakt lile n jiji la heshima kubwa
2025-04-17 14:59:26
1
jirome58
jirome :
ukitaka kujua kimo cha rais wa kwanza watanzani lazima dodoma
2025-04-15 17:30:58
1
jirome58
jirome :
nendeni washamba walk mapalegee nyie
2025-04-15 17:29:01
1
napah053
NAPAH :
me nataman waweke hadi knjaro 😁
2025-04-15 08:08:59
1
liahjohnson6
belle🍇 :
wacha kabsa waseme ni shingapi sasa..😂
2025-04-08 19:28:06
1
man.tugara
man.tugara :
😂😂😂
2025-04-06 18:43:22
1
To see more videos from user @mwanza.view, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About