😭😭😭😭😭 nimemmiss sana jmn nataman hata ningepata muda wa kukaa nae zaid 😭😭😭😭
2025-02-28 19:02:30
3
it's Naah🪶🦋 :
Nampenda sana Baba yangu Allah ampe maisha marefu🥰🥰
2025-03-06 02:38:13
3
Shaibu sity :
Unaweza ukawa na baba lakn ukatamani usingekuwa na baba😭 kwasababu maumivu tunayoishinayo moyoni anajua Mungu😭, yote kwa yote ukimpata mzazi mwema basi mtunze sana na umwombee sana😭🙏
2025-02-28 20:02:20
3
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm
homepage.