Hii ni dua ambayo mtu akifunga atakiwa aiombe kila time tatizo nnini ama ni vile kuifanya uradi wa kila baada ya swala
2025-02-27 08:58:32
5
momihak :
ila m nimeamin kwel akili n rizk kama rizk zingine....😂
2025-02-27 18:50:24
9
Khalid Toure :
Mawahabi hadi siku wanakuja kushtuka watakua wameshachelewa sana
2025-02-27 08:35:41
5
Salman Mtm :
Huyu wahabi huyu anamihemko🤣🤣. Maaswia ni yapi sasa.? Mbona uwahabi ni kihoja🤣🤣🤣
2025-02-27 12:55:50
4
abukhaybarah :
Kama kuna mtu hakusoma n haelewi basi n hyu n mlemba mkubwa kma chandarua
2025-02-27 17:11:27
1
MTAKATIFU MAN :
WAISLAMU MBONA MNACHUKIANA WENYEWE KWA WENYEWE 😂
2025-02-27 14:25:36
1
Mansoor :
mawahabi wajinga sana unasema mtume hakuleta dhikri maaluum sasa kama si maaluum sie ndo tumechagua hiho
2025-02-27 13:34:52
2
EscapeThem8 :
Hadithi ipo sawa,lkn waambie pia watu kama Mtume alisema tusome kila baada ya swala,nilidhani utawaambia watu Mtume kasema kila baada ya swala,Yani hututishi na lemba lako kubwa Hilo 🤣🤣 Juha ni Juha
2025-02-27 13:57:34
2
abulhassan Lmafiwiyyu :
kwahy ukiambiwa uombe msamaha nd ulete utaratibu unaotaka wewe ? swala sio imekatazwa istighfar kilichokatwaza ni huo mtindo umeutoa wap
2025-02-27 15:31:58
0
Mussa Abedi :
kila mmoja afanye ki vyake sio kuimbishana
2025-02-27 18:44:31
1
saeedsaeed016 :
lakini sio baada ya swala
2025-02-27 11:35:07
0
ochuu :
mbon mnatuchangany san nyie
2025-02-27 20:18:57
0
Mohamedshafiq Ahmed :
Hadith haijasema mufanye baada ya kila salah wala haijasema museme kwa jamaa yani pamoja kwa sauti moja..kila mtu ajifanyie kivyake...
2025-02-27 18:01:24
0
Saadia Ali :
sasa nyinyi mashekhe wenyewe hamupendani sasa sisi tutaamini yupi mkweli maana kila mtu anasema kivyake
2025-02-27 15:30:57
0
Bin zuber :
Hivi kusoma huo uradi iwe ni maasia kwel?
2025-02-27 14:52:32
1
To see more videos from user @abbas.almaariby, please go to the Tikwm
homepage.